Haya ni mapigano makubwa katika Nyanja za uchumi. Naamini kama tulivyokuwa na jeshi la kulinda mipaka yetu,basi kuna kikosi maalum cha kupambana na hila na hujuma ambacho kinaweza fitina za kila aina. Huu sasa ni wakati wake. Hata hivyo,mapigano ya kikosi hicho yawe ya ndani na nje ya nchi. Kwa ndani namaanisha kufanya mapinduzi ya kiuchumi kwa kufanya vitu katika uhalisia kwa wakati. Vita kama hii iliwahi kupiganwa kati ya Goguryeo, Baekje, Silla, Puyeo ambayo sasa ni mataifa ya China, Korea kus na kask.