LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,325
- 1,097
Tume imetangaza tena matokeo ya urais kwa majimbo mengine.wenye access fuatilien iko live kwenye t
Tv.
Ujue tatizo kuna wapumbavu wengi walio na upeo mdogo sana walipiga kura kwa kufuata dini! hayo ni majitu ambayo hata kesho hayajui yatakula nini!ni mizigo kwa maendeleo ya nchi iliyobarikiwa kila kitu kama TZ:A S angry:!
Umeonaaaaa enhe! yaani hata mimi kidogo tu niseme hivyo hivyo. Tatizo kuu la nchi yetu ni umaskini uliokithiri, mtaalamu wa Uchumi ambaye pia ameshawahi kufanya tafiti mbali mbali na kutoa ushauri kitaifa na kimataifa yupo....lakini wapi! watu wamekwenda kumchagua Padre....! Kisa ni mkristo mwenzao! yaani mikoa yote yenye Wakristo wengi ni Slaa tu! duuh! Kuanzia Uchagani, Kanda ya ziwa, Umasaini, unyakyusani.....!.
Kulikuwa na link yenye format ya spreadsheet (like excel), naomba mwenye nayo aniwekee hapa jamvini.
Umeonaaaaa enhe! yaani hata mimi kidogo tu niseme hivyo hivyo. Tatizo kuu la nchi yetu ni umaskini uliokithiri, mtaalamu wa Uchumi ambaye pia ameshawahi kufanya tafiti mbali mbali na kutoa ushauri kitaifa na kimataifa yupo....lakini wapi! watu wamekwenda kumchagua Padre....! Kisa ni mkristo mwenzao! yaani mikoa yote yenye Wakristo wengi ni Slaa tu! duuh! Kuanzia Uchagani, Kanda ya ziwa, Umasaini, unyakyusani.....!.
Ujue tatizo kuna wapumbavu wengi walio na upeo mdogo sana walipiga kura kwa kufuata dini! hayo ni majitu ambayo hata kesho hayajui yatakula nini!ni mizigo kwa maendeleo ya nchi iliyobarikiwa kila kitu kama TZ:A S angry:!
Tume ya Uchaguzi ndio inatangaza matokeo mengine ya urais, majimbo 28. Haya ndio ya misho kwa usiku wa leo.
Kaka ukitupatia yote kwa pamoja with Charts itatupa kausisingizi kidogo usiku wa leo.....
1st post updated
Mkuu usisahau kututumia nakalaTume ya Uchaguzi ndio inatangaza matokeo mengine ya urais, majimbo 28. Haya ndio ya misho kwa usiku wa leo.
Chonde chonde mkianza udini itakuwa haina maana tumieni page hii kwa busara tafadhali tusianze kukorogana hapa sote ni watz tutakuwa hatufiki mbaliAcha Akili mgando wewe ulitaka achaguliwe na mashetani,,Huyo Prof wenu ni njaa tu, na hakuna kingine, Umeangalia kura za umasaini Longido, Monduli, wamempigia Slaa?
Na huyo Prof wenu wakati wa kunadi sera za hicho chama chake yeye si aliwafuata waislam wenzake lindi na mtwara, Alienda shinyanga? Moshi? Umasaini?
Tatizo kuna baadhi ya wafuasi wa CUF mmelewa Uislam, mnafikiri hili taifa litaongozwa kwa misingi ya imani yenu, mnajidanganya,, Lipumba wenu anapoteza muda,kwa kumsaidia mpelekeni Kwenye chuo chenu morogoro akafundishe
Mtaishia kulalalama tu