tanzania eeeeee.......

tanzania eeeeee.......

Kirode

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
3,566
Reaction score
84
Viongoz wa Tanzania:
Wanaweka pesa Uswis,
Wanatibiwa India,
Wanajenga London,
Wanawekeza U. S. A au S. Afrika,
Shopping Dubai,
Likizo na matanuz Paris na kuungama wanaenda Israel au Saudi Arabia lakini wakifa wanazikwa Tanzania,hivi Tanzania ni makaburini au?
 
Chunga kucha zako, meno yako na macho yako wanaweza vipitia wakati wowote kuanzia sasa!
 
Back
Top Bottom