Watu wa lumumba hamchoki kujitekenya? Hayo majengo ni ya miaka ya nyuma, tangu awamu hii ijiingize kazini mnaishia kusomba wanyama kuwatoa mikumi kuwapeleka chato na kujipiga picha, hamna lolote. soko la hisa limedoda kutoa 3.4 Bil to .28 milion lkn maigizo ya shoo ndo kwakutumia nguvu ndo yametamalaki. shit