Tanzania: Dua ya Kuliombea Bunge...

Kati ya moja ya mistari katika sala hiyo inamwomba Mungu awaelekeze katika kutenda Haki,
Jambo la kushangaza ni kwamba wengi wao badala ya kulitendea bunge haki wakiwa Kama wawakilishi wa wananchi wao wamekuwa wakifanya kinyume kabisa,

Na hili pia nimeliona kwa viongozi mbali mbali katika Nchi hii, linapokuja suala la kuapa, huwa wanasoma maneno ya viapo kwa umakini mkubwa na mwisho Huwa wanasema Ee Mwenyezi Mungu nisaidie, kwa maana awasaidie kutekeleza yale waliyoapa kuyasimamia kwa haki.

Nawakumbusha tu, Ktk amri Kumi za Mungu, kuna amri Moja inasema. "USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO"
Kitendo cha kuomba Dua kinafiki wakati Ukijua kabisa kwamba huwezi kusimamia haki, ni Kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Ni laana kwako na ni laana kwa Nchi,

Kitendo pia Cha kuapa Adharani kuwa utasimamia haki ya kila mtu bila kumbagua yoyote kwa dini Kabila wala Rangi na Mwisho unasema Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie, na Ukijua kabisa huwezi kusimamia haki, ni Kumkufuru Mungu, Haki ni Kitu Kikubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu. Ni kitu kikubwa kuliko ukubwa wa Dini au Imani yoyote hapa Duniani.

Kwa hali ya unafiki ilipofikia sasa hivi hapa Tanzania, na kwa Hali ya kutokumwogopa Mungu ilivyo kwa sasa, Ni Dhahiri na Haki kabisa kwa Mwenyezi Mungu kwa sasa Aamue alifutilie mbali hili Taifa. Ili Lizaliwe Taifa lingine lenye watu ambao Watakapoapa kutenda haki basi na Iwe kweli na Imfurahishe Mungu.

Kwa hapa tulipofikia kwa Sasa Kama Nchi, Hakika Tanzania Tunastahili Adhabu toka Kwa Mungu.
 
Mungu hayupo angelikuwepo angelikuwa amshatuma gharika ya NUHU! wangeliangamia wote wasionekane juu ya uso wa dunia
 
Kwa hali ya unafiki ilipofikia sasa hivi hapa Tanzania, na kwa Hali ya kutokumwogopa Mungu ilivyo kwa sasa, Ni Dhahiri na Haki kabisa kwa Mwenyezi Mungu kwa sasa Aamue alifutilie mbali hili Taifa.
Ili Lizaliwe Taifa lingine lenye watu ambao Watakapoapa kutenda haki basi na Iwe kweli na Imfurahishe Mungu.

Hujui unachokisema mkuu.

Mungu kwenye Biblia alisema hata kukiwa na wenye haki watano ndani ya mji, hawezi kuufutilia mbali Sodoma.

Tanzania imejaa wacha Mungu wengi sana, makosa ya watu 300 ndani ya bunge hayawezi kusababisha Mungu kulifutilia mbali taifa...
 
Mkuu, kwa kusema kweli mambo yanayofanywa na viongozi wetu, ambao ilifaa wawe ndiyo dira ya Taifa kwa kutenda haki. Basi Huyu Mungu ni Mwema kweli. Kwa kiwango cha unafiki uliopo kwa sasa, ilitosha kabisa Mungu aifutilie Mbali Tanzania,
 
Hujui unachokisema mkuu.

Mungu kwenye Biblia alisema hata kukiwa na wenye haki watano ndani ya mji, hawezi kuufutilia mbali Sodoma.

Tanzania imejaa wacha Mungu wengi sana, makosa ya watu 300 ndani ya bunge hayawezi kusababisha Mungu kulifutilia mbali taifa...
Mkuu Bilionea wa nchi hii hawa walioko bungeni wana wafuasi wao wenye akili na mawazo kama hayo hayo, na ndio maana huungwa mkono na wananchi wenye mawazo kama yao, hivyo taifa hili wajinga ni wengi sana kuliko pengine unavyo dhani
 
Tutazidi kudumaa ktk Uso wa Dunia, labda pengine hii Tayari ni adhabu lakini hatujagundua.
Taifa la viongozi wanafiki, waongo washirikina waasherati. Wezi Mandumilakuwili. What do we expect ?
 
Kati ya moja ya mistari katika sala hiyo inamwomba Mungu awaelekeze katika kutenda Haki,
Jambo la kushangaza ni kwamba wengi wao badala ya kulitendea bunge haki wakiwa Kama wawakilishi wa wananchi wao wamekuwa wakifanya kinyume kabisa,

Na hili pia nimeliona kwa viongozi mbali mbali katika Nchi hii, linapokuja suala la kuapa, huwa wanasoma maneno ya viapo kwa umakini mkubwa na mwisho Huwa wanasema Ee Mwenyezi Mungu nisaidie, kwa maana awasaidie kutekeleza yale waliyoapa kuyasimamia kwa haki.

Nawakumbusha tu, Ktk amri Kumi za Mungu, kuna amri Moja inasema. "USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO"
Kitendo cha kuomba Dua kinafiki wakati Ukijua kabisa kwamba huwezi kusimamia haki, ni Kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Ni laana kwako na ni laana kwa Nchi,

Kitendo pia Cha kuapa Adharani kuwa utasimamia haki ya kila mtu bila kumbagua yoyote kwa dini Kabila wala Rangi na Mwisho unasema Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie, na Ukijua kabisa huwezi kusimamia haki, ni Kumkufuru Mungu, Haki ni Kitu Kikubwa sana mbele ya Mwenyezi Mungu. Ni kitu kikubwa kuliko ukubwa wa Dini au Imani yoyote hapa Duniani.

Kwa hali ya unafiki ilipofikia sasa hivi hapa Tanzania, na kwa Hali ya kutokumwogopa Mungu ilivyo kwa sasa, Ni Dhahiri na Haki kabisa kwa Mwenyezi Mungu kwa sasa Aamue alifutilie mbali hili Taifa. Ili Lizaliwe Taifa lingine lenye watu ambao Watakapoapa kutenda haki basi na Iwe kweli na Imfurahishe Mungu.

Kwa hapa tulipofikia kwa Sasa Kama Nchi, Hakika Tanzania Tunastahili Adhabu toka Kwa Mungu.

Kwani wanataja jina la "Mungu wako" pale? Lipi hilo? Mimi sijawahi kulisikia.
 
Hahah ina maana wanaomba kuongezewa kitu ambacho hawana?!!
 
Mkuu Bilionea wa nchi hii hawa walioko bungeni wana wafuasi wao wenye akili na mawazo kama hayo hayo, na ndio maana huungwa mkono na wananchi wenye mawazo kama yao, hivyo taifa hili wajinga ni wengi sana kuliko pengine unavyo dhani
Lakini jambo hilo haliwezi bado kumfanya Mungu kuifutilia mbali nchi.
 
MUNGU mwenye rehema tunakuomba utujalie amani na tuishi kwa amani na kila mtu bila ubaguzi
Mkuu Yule Mungu Wa Zamani mkali wa Akina Yakobo Na Isaka Na Ibrahimu, Sijui amejificha Wapi. Kwa nini awaache hawa Wanafiki wanaotuulia Nchi yetu waendelee kutamba namna hii!
 
Mk
Najua Wengi Mtanibeza Na Kusema Sina Hofu Ya Mungu Lakini Kiukweli Na Kiuhalisia Bado Sijaona Umuhimu Wa Kuliombea Bunge Kwa Sababu Zifuatazo:

1.Haki Inaonekana Waziwazi Kukandamizwa Na Viongozi Hasa Kwa Upande Wa Upinzani, Spika Akiwa Kama Kiongozi Anafanya Hili.

2. Bado Matusi Na Mizaha Imekuwa Fashion Bungeni, Hii Ina Maanisha Wabunge Wetu Licha Ya Kuomba Dua Kwa Mungu Bado Hawana Hofu Ya Mungu.

3.Vitisho Dhidi Ya Wabunge Wanaotetea Maslahi Ya Wananchi Bungeni Bado Vinashika Kasi Kubwa Kila Kukicha.

Wakuu Kwa Sababu Hizi Sioni Kama Kuna Haja Ya Kufanya Unafiki Wa Kumuomba Mungu Atangulie Katika Shughuli Za Bunge Ilhali Bado Watu Wanafanya Kinyume Na Maagizo Ya Mungu.
Mkuu nakuapia Kama Yule Mungu wa Isiaka na Yakobo angeshuka mapema Duniani Akayafutilia mbali haya Manafiki yanayotuharibia hii Nchi yetu Nzuri,ndani ya miaka kumi tungepiga hatua kubwa sana za ki maendeleo
 
Hilo la kuwaongezea hekima na busara Mungu amelikataa kutokana na uwepo wa maccm,kwani haliwezekani
 
Back
Top Bottom