Tanzania-Drones na package delivery

Tanzania-Drones na package delivery

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,284
I was thinking, Tanzania delivery ya products from one point to another ni kazi sana hata within the same city, na due to this hata online buying and selling Tanzania hakuna which is why hata paypal bongo huwezi receive hela, they don't see the market for it yet in Tanzania... My question, Tanzania especially Dar es salaam, je kila nyumba ina address yake? na kama ndio, zikoje au zinafata mfumo upi??

Napenda sana nijue hili, i was thinking of doing something about it na kutumia google maps api kila building iwe na address which might take sometime ila its quite possible...

Na kuhusu swala la drones, nchi kama US sasa hvi wanafikiria kuzitumia kwa vitu kama delivery, farming, news etc ila wako restricted na sheria, em naombeni msaada kwa wanaojua sheria za flying drones bongo kama zipo na zimekaa vipi??
 
ndege tu za kawaida ni kikwazo sasa ya drone sijui itakuwaje, tanzania sehemu nyingi hazina ramani ya kueleweka
 
ndege tu za kawaida ni kikwazo sasa ya drone sijui itakuwaje, tanzania sehemu nyingi hazina ramani ya kueleweka

mfumo wa drone ni mrahisi sana zipo hadi za dola 30, hazihitaji miundombinu kama ya ndege, unaweza hata wewe na jirani yako mkawa na yenu ya kutumiana fegi.
 
kuna maeneo kama kariakoo, upanga, ilala, magomeni(baadhi), mjini posta, kinondoni, mikocheni nk unaweza fanya hio kitu kwa kutengeneza mwenyewe adress kupitia ramani lakini kuna maeneo ni imposible sehemu kama tandale, mwananyamala kisiwani sjui jangwani au mbagala hutaweza, kwanza wataziiba ukimtumia mtu kitu wanachukua bidhaa na drone yake.

idea ni nzuri hasa ukichukulia foleni ilivyo kubwa itasaidia sana. kuhusu sheria nna uhakika hakuna ila uwezo wa kuwashawishi upo
 
Kama watu wanaweza kuangusha treni kuiba mizigo watashindwa kukitungua hiko ki-drone chako waibe hyo package?
 
Tatizo la kutengeneza mwenyewe address linaleta challenges kibao kuelimisha watu, which will take even more effort, na inakua sio future proof serikali ikisema inaleta mfumo wake wa address the whole system has to change.

Idea ya hizo sehemu ulizotaja hapo ni nzuri for a start, though nyingi ni sehemu za kazi n i expect wengi wanaofanya ordering online watataka home delivery... naona kuna still a lot of very big challenges kuimplement hii kitu...
 
Kama watu wanaweza kuangusha treni kuiba mizigo watashindwa kukitungua hiko ki-drone chako waibe hyo package?

Mkuu nadhani inategemea na flying height na location pia, watu siku zote wanatafta njia za kuiba na mara nyingi hua wanafanikiwa... japo it might seem easy lakini kuna drones zina algorithm ya kukwepa objects zinazokuja kwa speed unless kitu kiwe na speed kama risasi na mtu mwenye bunduki sijui atakua mjinga kiasi gani kusema atungue drone ambayo atakuta imebeba kitu kama simu peke yake mfano...
 
Kwa kuanzia labda ungeanza na kudeal na watu flani, labda kampuni moja inayofanya delivery bidhaa zake kwenye supermarkets labda hapo unaweza kupata mwanzo mzuri
 
We are so advanced in Tanzania we have manned personal flights (widely available) and/or we can easily covert them into drones:

We are so advanced in Tanzania we have manned personal flights (widely available) and/or we can easily covert them into drones:

mkuu faiza,umenifanya nicheke saana.hope those in decision making bodies will take it serious,afterall,if they would be operative openly,legal na hazianguki hovyo hovyo,i would have been their frequently customer
 
We are so advanced in Tanzania we have manned personal flights (widely available) and/or we can easily covert them into drones:

Tatizo ya hizi "drones" za kibongo hatujui nini kinazipa power ya ku-run engine.
 
Back
Top Bottom