Tanzania: Dini sio muhimu kama sigara na bia

Tanzania: Dini sio muhimu kama sigara na bia

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,715
Reaction score
167,728
Taasisi za kidini hazilipi kodi.

Kodi inakusanywa kutoka Kwenye pombe na sigara.

Kodi inajenga Barabara, inalipa mishahara, inanunua madawa hospitalini na kuboresha huduma za jamii.

Mbaya zaidi taasisi za kidini zinazuia watu wasinywe pombe na kuvuta sigara, Hivi zinadhani nchi itaendeshwa na nini iwapo watz wote wasipokunywa na kuvuta?
 
we unajielewa kweli!?...dini inafanya biashara gani ili ilipe kodi?
 
Basi isikataze watu kupiga ulabu

Mkuu mi ndo maana nawapenda Roman Catholic yaani kuna siku nimehudhuria mahafali ya maflate (mapadri watarajiwa) wamekaa high table na kanzu nyeupe mpyaaa zinang'aa balaa halafu high table imejaa bia kuanzia Castle Lager hadi Castle Light....wanazishusha tu taratiiiiibu huku wengine tumekaa ukumbini tukiwaunga mkono...zinapigwa nyimbo za dini, bongofleva, naija hadi kwaito na hakuna mtu anapapara..... we acha tu sala zinapigwa kama kawa na bia zinashuka kama kawa.... ni swala la kujielewa tu RC hawaamini pombe kama ilivyo ni tatizo..tatizo ni watumiaji na akili zao ndogo inakowatuma kuharibu
 
Wanywaji wa Pombe
-Wengi wake zao au madem zao wanamegwa nje,yaani wanachepuka kimya kimyaa
-Sio wakaaji sana wa nyumbani na familia,marafiki ni sehem yao kubwa sana ya maisha
-Watoto wao wa Kike ndio wanajua siri kubwa sana ya mama yao kimchepuko,na ni wasiri sana.
-Mwanaume yoyote mjanja ni rahisi sana kumtongoza mwanamke wa mtu mlevi na kumpata kilaini sana
-Wanaume wengi walevi ikipita muda wa masaa sita baada ya kunywa Bia,wanajamba saana Mashuzzi aina ya Brashhhh and squashhhh

Wavutaji
-Age fulani huwakata kabisa mapenzi ya ndani ya nyumba,hasa from 25 yrs
-Wengi wao hupata wake ambao wanaishinao kimazoea tu,na baadhi yao wanachepuka vile vile na wanaume wengine
-Sumu kwenye Dam inaendana na failure ya ku perform hovyo kwenye mgegedo
-Wengi wao ni wabishi sanaa,na kila kitu wanajua wao
-Hawajui kutongoza,wao ni command mwanzo mwenga "Utasikia we Masai Dada,hembu njoo,nataa nonio vipi utanipa?wao ni short cut tu
-Uwakute wakiwa tayari wazee halafu wamefulia,wanakuwa na nongwa sana.
-Wavutaji wengi sana wanapenda Kunya,tena sio kunya tu ilimradi,wanapenda kunywa kwa utulivuu

Uamuzi ni wako
 
hosea 4:11
"uzinzi, na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu"tafsiri za biblia hosea 4:11 tofauti juu ya fungu hilo
"whoredome, and wine, and newe wine take away the heart."
– king james version (1611)
"harlotry, wine and new wine take away the understanding."
– new american standard version (1995)
"whoredom and wine and new wine take away the understanding."
– american standard version (1901)
"loose ways and new wine take away wisdom."
– basic english bible
"fornication, and wine, and new wine take away the heart."
– darby bible
"lewdness and wine and new wine take away the heart."
– webster's bible
"prostitution, wine, and new wine take away understanding."
– world english bible
"whoredom, and wine, and new wine, take the heart,"
– youngs literal bible
"harlotry, wine, and new wine take away the heart."
– jewish publication society bible

​
mkuu mi ndo maana nawapenda roman catholic yaani kuna siku nimehudhuria mahafali ya maflate (mapadri watarajiwa) wamekaa high table na kanzu nyeupe mpyaaa zinang'aa balaa halafu high table imejaa bia kuanzia castle lager hadi castle light....wanazishusha tu taratiiiiibu huku wengine tumekaa ukumbini tukiwaunga mkono...zinapigwa nyimbo za dini, bongofleva, naija hadi kwaito na hakuna mtu anapapara..... We acha tu sala zinapigwa kama kawa na bia zinashuka kama kawa.... Ni swala la kujielewa tu rc hawaamini pombe kama ilivyo ni tatizo..tatizo ni watumiaji na akili zao ndogo inakowatuma kuharibu
 
Taasisi za kidini hazilipi kodi.

Kodi inakusanywa kutoka Kwenye pombe na sigara.

Kodi inajenga Barabara, inalipa mishahara, inanunua madawa hospitalini na kuboresha huduma za jamii.

Mbaya zaidi taasisi za kidini zinazuia watu wasinywe pombe na kuvuta sigara, Hivi zinadhani nchi itaendeshwa na nini iwapo watz wote wasipokunywa na kuvuta?

Wewe kichwa sana kaka, hawa jamaa ni kuwalipisha kodi tu biashara wanayofanya ni kubwa sana. Kwani mbona tunaambiwa ya kaisari mpe kaisari na mungu mpe mungu walipe tu. Wanajenga majengo ya kifisadi kweli kweli na utapeli mkubwa
 
Wewe kichwa sana kaka, hawa jamaa ni kuwalipisha kodi tu biashara wanayofanya ni kubwa sana. Kwani mbona tunaambiwa ya kaisari mpe kaisari na mungu mpe mungu walipe tu. Wanajenga majengo ya kifisadi kweli kweli na utapeli mkubwa
Nyumba ya Mama Rwakatare.​
 
Back
Top Bottom