Tanzania: Deni la Taifa lafikia trilion 116

Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia 85.4. Malipo ya huduma ya deni la nje mwezi Juni yalifikia dola milioni 234.4, yakihusisha marejesho ya mkopo na riba.

Kwa upande wa ndani, deni lilikuwa trilioni 35.5, likiongezeka kwa asilimia 0.9 kutokana na hati mpya za dhamana. Uchambuzi wa IMF unaonyesha deni la umma ni asilimia 35 ya Pato la Taifa, chini ya kiwango cha hatari, ingawa kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola kumeongeza mashaka juu ya mzigo wa deni.

Wachambuzi wanasema ingawa deni ni kubwa, bado linaweza kudhibitiwa iwapo mazingira ya sasa ya kiuchumi yataendelea.

Saidia fundi

View attachment 3452298
Ikiisha mitano tena kwa nanii litakuwa 200trn
 
Wanakopa bila kutushirikisha
nani sasa wakulipa deni kubwa kama hili?

wao wanatembelea ma vieitea na kuishi kifisad halaf sie kapuku ndo tulipe madeni?!
 
Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia 85.4. Malipo ya huduma ya deni la nje mwezi Juni yalifikia dola milioni 234.4, yakihusisha marejesho ya mkopo na riba.

Kwa upande wa ndani, deni lilikuwa trilioni 35.5, likiongezeka kwa asilimia 0.9 kutokana na hati mpya za dhamana. Uchambuzi wa IMF unaonyesha deni la umma ni asilimia 35 ya Pato la Taifa, chini ya kiwango cha hatari, ingawa kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola kumeongeza mashaka juu ya mzigo wa deni.

Wachambuzi wanasema ingawa deni ni kubwa, bado linaweza kudhibitiwa iwapo mazingira ya sasa ya kiuchumi yataendelea.

Saidia fundi

View attachment 3452298
Yaani madisadi wakope pesa wanunue mabasi, wajenge maghorofa ,mahoteri ya nyota tanohalafu sisi malofa tulipe, Aiseeee Easther Luxury Coach.
 
Daah inauma najua hapa wataongezana kupandisha kodi ili sisi masikini tusiojua hili wala lile tuwalipie deni wao waliokopa na kuiba hizo hela
 
Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia 85.4. Malipo ya huduma ya deni la nje mwezi Juni yalifikia dola milioni 234.4, yakihusisha marejesho ya mkopo na riba.

Kwa upande wa ndani, deni lilikuwa trilioni 35.5, likiongezeka kwa asilimia 0.9 kutokana na hati mpya za dhamana. Uchambuzi wa IMF unaonyesha deni la umma ni asilimia 35 ya Pato la Taifa, chini ya kiwango cha hatari, ingawa kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola kumeongeza mashaka juu ya mzigo wa deni.

Wachambuzi wanasema ingawa deni ni kubwa, bado linaweza kudhibitiwa iwapo mazingira ya sasa ya kiuchumi yataendelea.

Saidia fundi

View attachment 3452298
Halafu kuna wajinga wanajiita wazalendo.
 
Halafu Dollar zenyewe ni hewa wala hazikuwepo ila mlipaji ndo unarudisha hela kamili..
Hii nchi ina siri sana tena kubwa kubwa hile dhana ya keki ya taifa kuliwa na wenye kisu ni dhahiri sasa waziii
 
Deni la Chadema ,CCM kwenye deni haipo hata kidogo utafikiria na hawaliambatanishi na Rais Samia kuwa Deni na lake huku wakiuza migodi kama vile nchi ni yao duuu NIDA yangu nimeificha mwenyewe leo nasikia wanayo CCM wala sio TRA and INEC kimeniuma sana
Hakuna umuhimu tena wavitambulisho vya nida
 
Back
Top Bottom