Tanzania Daima's Obsession


Yawezekana hujui unachokisema,mswada wowote lazima usainiwe na Rais ndiyo iwe sheria,na tambua yule spika wako Anna Makinda amewekwa kwa interest za chama cha ccm,ukiona kitu kimepitishwa kuwa sheria basi ujue Rais amebariki,sasa kama vitu huvijui uliza kwanza usikurupuke kuleta humu jf,tambua humu kuna watu wanajua vitu A-Z.Jipange
 
TanzaniaDaima, gazeti la chama cha demokrasia na maendeleo. Ila linasahau kuwa nchi ipo mikononi mwa ccm. Ngoja kilichoipata Mwanaharisi likiwapata na wao wataweka akili.
 
Mleta mada kanichekesha sana na anaakili ileile ya kupandikizwa na Baba zake kuwa Watanzania ni wajinga hii mada alitakiwa awapelekee walioko milembe.kumtenganisha Kikwete na maamuzi ya CCM walioko milembe ndiyo watakuona upo sahihi.UWEZI KUMTENGANISHA SHETANI NA DHAMBI.
 

....asee wewe ndo parachichi kabisa.....mbururaaaaaaa
 
Hii serikali ni ya ccm,hivyo jambo lolote litakalofanywa na serikali hii ni lazima kuna direct connection with ccm,na ndo maana huwa inachukuliwa kusema ndiyo ndan ya Bunge mswada unakuwa umebarikiwa na kupelekwa kwa Rais kwa kuwa wabunge wa ccm ni wengi!
Vyombo vingi vya habari hapa Tanzania ni vinafiki na ndiyo maana jambo lolote baya lifanywalo na serikali ya ccm hawaandiki na redio ama tv hawayatangazi,acheni chombo kilichoamua kutuletea habari kilete,wewe unayekerekwa acha kulisoma,kusikiliza au kuangalia
 
Asanteeee,mpe huyo kipofu wa kujielewa
 
Hoja yako mfu ni kwamba Rais hajapitisha kodi hiyo kwa kuwa hakuwa bungeni. Sawa.

Ukweli usiopingika ni kwamba kodi hiyo imepitishwa na wabunge wa CCM na wale wa vyama vya upinzani ambavyo vinafungamana na CCM.

Imedhihirika wazi kwamba kodi hii ya SIMcard inapingwa na kiwango kikubwa cha Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa au nyingine.

Ikumbukwe kwamba Rais anapochaguliwa kuiongoza Jamhuri anakuwa na kofia mbili: majukumu ya kichama na majukumu ya kiserikali. Kwa upande wa Tanzania rais ni mwenyekiti wa taifa wa chama tawala, CCM, kilichopitisha kodi hii.

Lakini utata wa kiutawala unaojitokeza hapa ni rais, hata kama hakuipitisha kutokana na yeye kutokuwa mbunge, kabla ya bajeti hiyo kupelekwa bungeni, Kamati ya Masuala ya Bunge ya Ikulu, ili kupata baraka za Rais kabla bajeti hiyo haijapitishwa, ilikaa kikao na Rais kumshauri juu ya mapendekezo yote, ikiwemo kodi hiyo tata.

Kwa kuwa upinzani mkubwa ulitarajiwa kuhusu kodi hiyo, hususan kutoka kambi ya upinzani, na ili kukwepa baadhi ya wabunge wa CCM wanaowajibika kutoa hoja pinzani, ilikubaliwa kwamba, japokuwa kodi hiyo awali kodi hiyo iliondolewa kwa mujibu wa tamko la Waziri wa Fedha, ilirejeshwa tena kwa namna ambayo hakukuwa na ulazima wa kuijadili. Wabunge walioipitisha bajeti ya serikali kuu, iliyokuwa na baraka zote za rais, kwanza walifanya hivyo kujali maslahi yao kwani Spika aliwaambia kwamba wasingeipitisha Rais angelazimika kulivunja bunge, na pili, wabunge hao wana desturi ya kupitisha sheria na bajeti kishabiki, kana kwamba haya ni mashindano kati yao na upinzani, bila kujali kwamba anayeumia zaidi ni mwananchi wa kawaida ambaye ndiye aliyewapigia kura na kuwaweka hapo; mwanachama wa CCM!

Hoja mfu kwamba rais hajaridhia kodi hii, yeye kama rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipaswa kuchukua hatua baada ya yeye mwenyewe kuona kwamba raia anaowatawala, bila kujali itikadi zao, wanaipinga. Ukimya wake umeonesha wazi kuridhia kwake.

Waingereza wana methali isemayo Silence means consent. Inamaanisha ukimya huonesha kukubali jambo fulani lifanyike. Kama hujakubali unalisemea, unalipinga.

Mwenye mamlaka ya kuridhia au kufuta kodi hii kisheria kwa mujibu wa Katiba ni Rais.
 

Haaa...sasa msomi mwenzetu kama pendekezo linatoka kwenye kikao ambacho Rais ni Mwenyekiti wake hadi hapo anaridhia au hajaridhia? Na kama anasign inapotoka bungeni (though kwa issue ya kodi & budget that is not the practice) anakuwa bado hajaridhia tu?

Hizi shule za kata zinatuharibia sana "wasomi" wetu na kama huu ulioufanya ndio uchambuzi wako wa kisomi, basi elimu yetu ina shida tena kubwa sana.
 
Hili ni gazeti la chadema sasa unategemea nini lazima liandike kuichafua ccm wakiamini kuwa wataiua ccm kumbe watu wanaona.
 
ebu tuondolee unafiki wako kwanza wewe unasoma magazeti ya uhuru na mzalendo alafu umepitia headline ya tanzania daima unadai mara oh visababu vingi MAGAMBA YOU SHOULD DIE QUIETLY.

well said....awa jamaa nazani wana jiondoaga akili, ndio maana kila kukicha wana post upuuz humu.
 
Kila mtu anafahamu akili ya mbowe ilivyo na yeye ndiye anayetoa maelekezo tanzania daima liandikennini tarajia vitu vya ajabu tu mbowe hawezi hata kujitathimini yeye mwenyewe ije kuwa kutoa maelekezo kwa gazeti tarajia manyago mengi sana.
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku mtupu.

Na wewe FaizaFoxy hebu ongea kama mfungwa mzoefu aliyetoka kifungoni bana yaani huwezi hata kuiga mandela alivyofanya? yaani unakuja na kauli legelege namna hii?

Nina uhakika hata hapo kwenu Lumumba hamkosi kulisoma na kama unabisha toka hapo mtaa wa pili angalia hao jamaa hapo nenda hadi pale mnazi mmoja angalia wote wenye magazeti mkononi uhesabu kama hujaona wanaosoma magazeti wana Mwananchi, Tanzania Daima na Nipashe. Ukiona mwenye mzalendo niambie jioni nitakufuturisha.

Kila siku mko busy na Tanzania Daima umeshaona mtu anazungumzia Uhuru? yanagawiwa kwa lazima maofisini halafu tunawapa wafanya usafi bila hata kulifungua yakifika kilo wanawauzia wauza vitumbua. After all mmeshawalipa waandishi wenu wa uhuru?
 

Sijapata ona dunia hii mtu mwenye OMBWE katika akili kama wewe mleta mada..
 
Kila mtu anafahamu akili ya mbowe ilivyo na yeye ndiye anayetoa maelekezo tanzania daima liandikennini tarajia vitu vya ajabu tu mbowe hawezi hata kujitathimini yeye mwenyewe ije kuwa kutoa maelekezo kwa gazeti tarajia manyago mengi sana.

Bora kuliko nape na mizinga yake ya form four!
 

Kwa jinsi ulivyoandika hii habari inaonekana kwa namna usivyojua hatua jinsi sheria inavyoundwa. Any way inawezekana siyo kosa lako. Lakini kwa hili la kodi za kwenye laini za simu wakati watu wanatorosha twiga, meno ya tembo na madini nje huwezi kulitenganisha na CCM. Wabunge wa CCM waligonga gonga meza kwa kusema ndiyooooooooooooo ipiteeeeeeeeeee huku wakiwa wamevimbiwa kodi za wanyonge bila kujali athari za tozo hili kwa mtanzania ambaye akiamka asubuhi hana uhakika kama atashiba kwa siku hiyo au la. Baada ya Wabunge wa CCM kugonga meza, rais wa serikali ya CCM lazima aliisaini ili ikawa sheria kamili. Sasa ndugu yangu unayesema serikali haihusiki sijui
wewe ni mgeni nchi hii au unataka kuleta ubishi ule wa kenge wa kutokujua kama amepigwa na kuumizwa hadi aone damu zimemtoka masikioni
 
unatuona sisi wajinga sana eeh? hivi nani haoni ushabiki wa kipumbavu unaofanywa na wabunge wapumbavu wa ccm kupitisha mambo ya kipumbavu kwa maagizo ya serikali ya kipumbavu ya ccm?
aliye post hii thread pinda kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…