Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto.
Katika picha hiyo tzdaima lajidai "Marafiki wa kufa na kufaana"
Kwanini tzdaima haichapishi picha ya Mh mbowe na JK wakicheka pamoja?
Jee kwa zitto kuchapisha na kuandika maneno hayo , Viongozi wa CDM hawatazidi kumuona ZItto ni msaliti?
Unajua toka Zito atangaze kugombea urais kupitia CDM amekua adui wa Mbowe na magazeti yake pamoja na watu wote wa Kaskazini ambao wao mbowe ndiye mgombea sahihi kwa sababu anatoka Moshi.Zito komaa nao tu mpaka waache fitina zao.
Naona mwandishi wewe ndo unataka tuamini kuwa Tanzania Daima linamshambulia Zitto, au unajenda ya siri kututengenezea ugomvi kwa wana CDM na Zitto. Binafsi siamini kama tofauti za kichama zinamaanisha uadui! Unataka tuamini kuwa Zitto SI RAFIKI wa JK. Kama kweli ni marafiki, TanzaniaDaima imekosea wapi? Namsubiri Zitto aje atuambie yeye si refiki wa kikwete na gazeti limempakazia.leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto.
Katika picha hiyo tzdaima lajidai "Marafiki wa kufa na kufaana"
Kwanini tzdaima haichapishi picha ya Mh mbowe na JK wakicheka pamoja?
Jee kwa zitto kuchapisha na kuandika maneno hayo , Viongozi wa CDM hawatazidi kumuona ZItto ni msaliti?
Zitto ana kila dalili ya unafiki inayofahamika hapa duniani. Aliibua hoja nzuri sana ya kumtoa Mh Pinda na imepandisha umaarufu wake na wa CDM, lakini anabakia kuwa mtu wa kuangaliwa kwa makini sana. Aendelee kujifunza kutoka kwa wengine ndani ya CDM na atakapopevuka atakuwa mwanasiasa na pengine rais mzuri sana. Kwa sasa Zitto hana uwezo na ujasiri wa kumfikisha Kikwete mahakamani na kumfilisi mali alizojilimbikizia na mafisadi wengine hapo 2016. Aje rais kutoka CDM atakayekata mizizi ya ufisadi kwa kuwafunga jela mafisadi then baada ya kusafisha nchi ndio Zitto aje apewe urais na atatuongoza vizuri tu, lakini kuwafunga mafisadi Zitto hataweza. Rostam, Lowassa, Riziwani, Serukamba wote ni rafiki zake.statizo sio kwa mtoa mada ila liko kwa mwandishi wa gazeti alitaka kutoa picha gani kwa watu hasa kipindi hiki cha siasa za kuviziana?Zitto si tishio tu kwa ccm bali hata kwa baadh ya viongoz wa cdm,watu wanahangaika kuzima nyota yake kila siku.sisi tunajua hakuna ubaya wwt kuwa marafiki hatuna siasa za chuki.Jk atamaliza muda wake then ataiaji km raia sasa uadui wa nn?mwandishi ana ajenda yake
Tuliona karibu viongozi wote wa CDM walipoenda pale magogoni na kupewa chai wote walionesha tabasabu/kufurahi tu.
..
longolongo za ccm . com
kuna kipindi alisema anaenda kulalamika gazet hilo kwa mmiliki. alienda?
Zito komaaa nao mpaka waache siasa za ukanda.tulimsikia mzee ndesamburo alivyo mponda zito pindi alipotangaza nia ya kugombea urais.cdm lazima kisambaratike tu kwani zito ana kundi kubwa sana la watu hivyo waomshambulia watakwama tu.