Tanzania Daima La Tar `19 jan. 2013

Tanzania Daima La Tar `19 jan. 2013

toghocho

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
1,172
Reaction score
198
Heshima mbele wakuu, nimeambiwa kuna nafasi ya kazi kwenye gazeti la Tanzania Daima la jana tar 19, ukurasa wa tano, mwenye uwezo wa kutupatia page hiyo tafadhali naomba msaada wako wa scanned au details,...
natanguliza heshima....
 
Jaman kwanini walimu tunapuzwa sna? Taaluma yetu inadharauliwa kupita kiasi utadhan tumegushi vyeti.
 
Back
Top Bottom