Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Mkuu bahati mbaya humu hatujuani nani ni nani lakini kuna waandishi au kuna watu wenye uhusiano na waandhi wa habari si Tanzania daima tu hutusaidia kupata news na sisi kuzileta hapa sasa ukisema eti wasizitumie utakuwa unakosema......
Mbona mara nyingi mtu akileta habari anaombwa kutaja source???
Naamini hata Tz daima au chombo kingine cha habari kinachochukua habari hapa kina wajibu wa kueleza source ili kuondoa uwezekano wa hicho chombo kujiona kwamba wao ndio source wakati habari wameitoa JF.
Hivi ikitokea mtu akashitakiwa kwa ku-violate copy right law wakati original source in JF itakuwa sahihi? Mfano mtu kachukua mawazo yetu hapa na kutunga kitabu halafu mimi nikakisambaza by photocopying. Itakuwa sawa?
Nadhani sasa tunahitaji kuangalia haya mambo kwa marefu na mapana!