MashaJF
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 246
- 119
Open Government Partnership |
Inawezekana imewahi kujadiliwa, kama haijawahi kujadiliwa naomba tuijadili. Hii commitment kweli inatoka moyoni mwa viongozi wetu au ni kufurahisha watu flani wa nje? Manake ni makubaliano mengi ya kimataifa huwa yanasainiwa na viongozi wetu lakini ukija kwenye matendo yao ni tofauti kabisa!!
Nawasilisha.