John Kachembeho
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 560
- 389
Kiukweli inapendeza sana, tena wote wameiwakilisha vizuri rangi nyeusi iliyopo katika bendera yetu.
Nimepata shauku ya kujua kama huyo jamaa picha ya pili alifanikiwa kuvunja hayo matofali au lah......
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi

Nakuona wewe kama ifuatavyo: (1) haujui mazoezi(2)mvivu wa kufanya mazoezi(3)mpuuzi fulani ambaye uko kama Thomaso usiyeamini hata ukiona(4) Mtoto wa mama umelelewa katika maisha yasiyo ya kujishughulisha. Kwa taarifa yako dhana ya martial art kwa mjinga kama wewe huwezi kuamini kama mkono wa binadamu ulijazwa mazoezi unaweza kukunja nondo

Upuuz mtupu watuonyeshe ukomando kwenye kulinda kundi dogo la tembo na rasilimali za nchi,kuvunja tofali kunasaidia nini kwenye dunia ya kisasa inayotawaliwa na war machines(technology).
Kiukweli inapendeza sana, tena wote wameiwakilisha vizuri rangi nyeusi iliyopo katika bendera yetu.
Nimepata shauku ya kujua kama huyo jamaa picha ya pili alifanikiwa kuvunja hayo matofali au lah......
Ukweli ni kwamba hapa wewe ndio unaonekana MPUUZI.....Wapuuz tu hawa, hivi katika dunia ya leo makomandoo bado wapo kwenye akili za kuvunja matofali?