Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,384
- 1,438
TANZANIA BUSTANI YA EDENI
Ndugu zangu Mimi Clemence Kenan Mwandambo najisikia raha kuzaliwa Tanzania, Bustani ya Edeni, nchi ambayo ni mwanzo wa kuumbwa kwa ulimwengu. Ebu tafakari hili.
Kanisani wanasema mtu wa kwanza aliitwa Adam, aliishi kwenye bustani ya Edeni na hapo Ndipo Mungu kwa mara ya kwanza alizungumza na mwanadamu. Na niliposoma vitabu vya historia, vinasema fuvu la mtu wa kale liligundulika TANZANIA, Ndipo nilipotafakari! Hah hivi si mtu wa kale ni adam?
Kumbe fuvu la Adamu liligundulika Tanzania, Oldivai Georgie, nchini Tanzania.
Kumbe nimekanyaga nchi uliyoishi Adamu, kumbe nimezaliwa kwenye bustani ya Edeni? Mahala ambapo Mungu alizungumza na Adamu? Kumbe nina bahati kuzaliwa Tanzania, nchi takatifu, nchi ya Adamu na Eva.
Hiyo ndiyo bahati tuliyonayo watanzania, hatuna sababu ya kuwa wanyonge, tunahitaji kusonga mbele katika imani, tubadirike, tuiambie dunia, na Dunia itetemeke, tuwafundisha watoto wetu kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu, tujibland, tuonekane hivyo, watalii wakamiminike, waione nchi aliyoishi Adamu.
Wote tukanene hilo kuanzia raisi wa nchi mpaka mwananchi wa kawaida. Watu waione Tanzania tofauti, tujione hivyo na tukaonekane hivyo.
WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA MUKANIUNGE MKONO KATIKA KAMPENI HII TUINADI NCHI YETU. NA KILA MZALIWA WA TAIFA HILI AKAJIVUNE KUWA MTANZANIA.
0755068357/0653068355