Tanzania brews another storm with 5pc cargo tax

Mambo kwa ground.

The United Arab Emirates – a desert nation – has donated food to Kenya, a country which boasts that Agriculture is the backbone of its economy! Who bewitched us?
Our problem is too obvious. We always get it wrong in terms of choosing visionary leaders and ensuring that we force their hand to do what’s right, like any self-respecting nation ought to do.

Mambo kwa ground:-
i) 60% ya Watanzania ni maskini wa kutupwa yani wanaishi chini ya $1.9 kwa siku
ii) World bank imesema bado Tanzania iko kwa least developed countries.
iii) IMF imesema Tanzania ikiwa na Nigeria, ndiyo zina zalisha umaskini mingi bara Afrika
iv) Tanzania iko na utapia mlo kushinda nchi zote za afrika mashariki (WFP, world food programme)
 
Kama 60% ya Watanzania wanaishi chini ya dola 1.9 basi haya ndio maisha halisi ya wakenya waliokosa hata hiyo dola 1.9

Kuna mambo kwa ground yanayo zidi haya!

Yaani mnapokea misaada ya chakula kwenye nchi ambazo ni jangwa na upo hapa jamiiforums inayo milikiwa na Watanzania ukikenua.

Wapi kuna uafadhali?
 
Mambo kwa ground:-
i) 60% ya Watanzania ni maskini wa kutupwa yani wanaishi chini ya $1.9 kwa siku
ii) World bank imesema bado Tanzania iko kwa least developed countries.
iii) IMF imesema Tanzania ikiwa na Nigeria, ndiyo zina zalisha umaskini mingi bara Afrika
iv) Tanzania iko na utapia mlo kushinda nchi zote za afrika mashariki (WFP, world food programme)

Wewe ni zube, nilikuwa nakuona mjanja before.
1. Wewe unaamini kweli kwamba idadi kubwa hivyo ni masikini?
2. Wewe unajua ya kuwa $1 kwa Tanzania mtu anaweza kula mlo na kushiba?
3. Wewe unajua ya kuwa kuna consumption nyingi tu za Tanzania na Afrika kwa ujumla go unrecorded?
4. Wewe unajua ya kuwa Tanzania na Afrika kwa ujumla kuna idadi kubwa ya unregistered businesses and enterprises which wealth hundred of thousands plus dollars?
5. Wewe unajua ya kuwa Tanzania na Afrika kwa ujumla kuna a lot of unrecorded transactions of tune of hundred thousands plus dollars?
Kama siyo mchumi usijaribu kujibu, wewe potezea tu.
 
Kwanza Kenya haifanyi biashara nyingi na Tanzania. Tunafanya biashara nyingi na Uganda, UK,America,eu, Pakistan na egypt kushinda Tanzania.

Uganda ingefanya hivi hata media ya kenya ingekuwa inalia kila sikumlakini hii kelele yenyu ya chura na ujinga ni ya kupita.
Sasa kwanini mnafungua "thread" kulalamikia Tanzania kwamba inaanzisha vita vya kibiashara kwa kutoza 5% Lev?, kama hamtaki kulipa wacheni kuleta magari yenu huku kwetu, tutaendelea kuwatoza kodi vile tupendavyo na hamna la kutufanya.

Mkileta vifaranga tutavichoma moto, mkileta mifugo yenu, tutaikamata na kuitaifisha, mkijaribu kulipiza kisasi kwa kuzuia magari yetu kuja Kenya au kuyatoza 5%, " Shall retaliate as usual".
 
Poverty, Slums, hunger, corruption, tribalism, crime, police brutality, unemployment, debts, terrorism, ndio vitu Kenya inashinda Tanzania
Poverty? 😂 😂
You are out of touch with the reality danganyikan. Get out and smell the coffee. I can debunk everything you've said here but first take this bitter pill you poor soul! 😂
 
Wewe ni zube, nilikuwa nakuona mjanja before.
1. Wewe unaamini kweli kwamba idadi kubwa hivyo ni masikini?
2. Wewe unajua ya kuwa $1 kwa Tanzania mtu anaweza kula mlo na kushiba?
3. Wewe unajua ya kuwa kuna consumption nyingi tu za Tanzania na Afrika kwa ujumla go unrecorded?
4. Wewe unajua ya kuwa Tanzania na Afrika kwa ujumla kuna idadi kubwa ya unregistered businesses and enterprises which wealth hundred thousands plus dollars?
5. Wewe unajua ya kuwa Tanzania na Afrika kwa ujumla kuna a lot of unrecorded transactions of tune if of hundred thousands plus dollars.
Kama siyo mchumi usujaribu kujibu, wewe potezea tu.
What a lame excuse!
What a stupid comment!
Kwa hivyo the World Bank fails to record all these things you've stated here only in Tanzania? Bongolala, accept and move on danganyikan. Stop looking for flimsy excuses that only make you look stupid. You don't know better than World Bank or IMF
 
Mambo kwa ground:-
i) 60% ya Watanzania ni maskini wa kutupwa yani wanaishi chini ya $1.9 kwa siku
ii) World bank imesema bado Tanzania iko kwa least developed countries.
iii) IMF imesema Tanzania ikiwa na Nigeria, ndiyo zina zalisha umaskini mingi bara Afrika
iv) Tanzania iko na utapia mlo kushinda nchi zote za afrika mashariki (WFP, world food programme)
Hahahaha, unapenda sana kujipa moyo kwa taarifa za kwenye makaratasi wakati watu wenu wanakufa kwa njaa. Tumia taarifa za WB ndio utajua hali halisi ya nchi yenu, soma hii.
 
What a lame excuse!
What a stupid comment!
Kwa hivyo the World Bank fails to record all these things you've stated here only in Tanzania? Bongolala, accept and move on danganyikan. Stop looking for flimsy excuses that only make you look stupid. You don't know better than World Bank or IMF

I gave the warning before, if you are not an economist, don't dare to yap anything in here. Nothing you can decipher, rather than hiding behind the washington consensus editorials.
Endeleeni kumeza data za miungu yenu kama dodoki.
 
Ni miungu wetu wakisema nyinyi ni masikini wa kutupwa. Wakisema mmevuka boda kutoka lile kundi la LDC mnashangilia na kusema ni wasema kweli. How interesting!
 
I can see your effort of dragging me to your level of ignorance. Bye bye, gotta no tim to discus wit goats humper from Turkana.
 
I am giving you World Bank data you are giving me blogs! Are you insane?
Just in case this passed you

Stupid at the highest degree, do you understand difference type of Journalism?, that is what is known as "reporting journalism".

If Uhuru Kenyatta gives statement, will you not trust Newspappers which write about his statement just not because they are not from statehouse?.

So long that the media gives the source of the "News", it is as good as its Original source, because you are able to go to the original source and confirm, unless you are a Lazy Kunyaman
 
Give me the source from which that blog you brought here reported that news. Unafikiri sisi ni wajinga?
 
Back
Top Bottom