Tanzania bila ya CCM inawezekana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania bila ya CCM inawezekana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Konaball, Sep 23, 2009.

 1. K

  Konaball JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Ikiwa imebakia takribani mwezi moja kuingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji je WATANZANIA wanaweza kusema msemo huu TANZANIA bila ya CCM inawezekana
   
 2. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tanzania bila CCM HAIWEZEKANI
  Nambari Wani ni CCM
  CCM Juu, Juu, Juu zaidi.
  Vyama vingine vinaiga tu.
   
 3. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Siku ukija na kuona kuwa CCM hawana chao tena utasemaje??
   
 4. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  You're about as useful as a one-legged man at an arse kicking contest.

  ushabiki usio na tija!!!
   
Loading...