Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,524
Sijui kama ni kweli17% ndio wamepunguza ?
Nakuamini siku zoteUpuuzi mwingine wa CCM, ‘bi-tozo’ amekuwa asset manager sasa wa kila bank Tanzania.
Bank zenyewe sehemu kubwa ya mikopo yao ni payday lending na serikali inawakata watumishi juu kwa juu, kuna risk hapo kweli.
Kikubwa hapo ni taasisi za serikali kuweka hela zao kwenye banks savings, na hela hizo hizo kutumika kununulia bonds za serikali.
ShukranNakuamini siku zote
Pumba gani hapo?Pumba
Pesa ipo ukiona hayaView attachment 3393487
Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara.
Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa zimeongezeka hadi kufikia TZS1,194,800,000,000.
Kupungua kwa mikopo chechefu kutoka 9.3% hadi 3.2% kunaashiria Tanzania sasa mzunguko wa fedha (M3) umeongezeka na hivyo kufanya biashara nyingi kuweza kukopa na kurejesha mikopo bila mikwamo kama ilivyokuwa hapo awali.
Awamu ya sita kazi imafanyokaView attachment 3393487

Kazi na utu sioView attachment 3393487

hii ni kweli kabisaView attachment 3393487

kazi za Mama zinajiuza
Miradi sio rushwa ni utekelezaji wa ilaniInaitwa Rushwa ya kura hutolewa mwaka wa uchaguzi hasa miezi michache kabla ya uchaguzi huo.
lete huo ukweli wako na ushahidi wa huu uongoWaoooo uongooooo
cheki repoti za BOTlete huo ukweli wako na ushahidi wa huu uongo
mimi sijui kusoma ripoti za BOTcheki repoti za BOT
Mamamae
nikusaidiehe mkuumimi sijui kusoma ripoti za BOT
sio kweli hata hivyo naamini hivyoInaitwa Rushwa ya kura hutolewa mwaka wa uchaguzi hasa miezi michache kabla ya uchaguzi huo.