Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,579
- 2,906
Ni kweliInaitwa Rushwa ya kura hutolewa mwaka wa uchaguzi hasa miezi mocha he kabla ya uchaguzi huo.
Kweli nini?Ni kweli
Rushwa kwenye uchaguzi ni ngumu kuibainiInaitwa Rushwa ya kura hutolewa mwaka wa uchaguzi hasa miezi mocha he kabla ya uchaguzi huo.
Ni kweli hata katiba si ni kijitabu tu.Rushwa kwenye uchaguzi ni ngumu kuibaini
😅😅CHADEMANi kweli hata katiba si ni kijitabu tu.
Waoooo uongoooooView attachment 3393487
Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara.
Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa zimeongezeka hadi kufikia TZS1,194,800,000,000.
Kupungua kwa mikopo chechefu kutoka 9.3% hadi 3.2% kunaashiria Tanzania sasa mzunguko wa fedha (M3) umeongezeka na hivyo kufanya biashara nyingi kuweza kukopa na kurejesha mikopo bila mikwamo kama ilivyokuwa hapo awali.
PumbaRushwa kwenye uchaguzi ni ngumu kuibaini
CHAWA wa mamaView attachment 3393487
Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara.
Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa zimeongezeka hadi kufikia TZS1,194,800,000,000.
Kupungua kwa mikopo chechefu kutoka 9.3% hadi 3.2% kunaashiria Tanzania sasa mzunguko wa fedha (M3) umeongezeka na hivyo kufanya biashara nyingi kuweza kukopa na kurejesha mikopo bila mikwamo kama ilivyokuwa hapo awali.
Kazi nzuri sana Rais wetu.View attachment 3393487

Hii anazungumzia mikopo isiyolipika mkuu sio RibaMnieleweshe watalaam wa mambo ya fedha.
Huku mitaani mbona naona riba za mikopo kwenye mabenki kama Crdb, Stanbic, Nmb nk ni kuanzia 15% to 18%..
Labda mnieleweshe labda nimeelewa vibaya.
Nangu nyau: ndani ya viunga vya Tehrani.
Riba hawaweza kupunguza..Mambo ya uchumi hayana uhalisia ni siasa tu.Mnieleweshe watalaam wa mambo ya fedha.
Huku mitaani mbona naona riba za mikopo kwenye mabenki kama Crdb, Stanbic, Nmb nk ni kuanzia 15% to 18%..
Labda mnieleweshe labda nimeelewa vibaya.
Nangu nyau: ndani ya viunga vya Tehrani.
Wamepunguza sanaRiba hawaweza kupunguza..Mambo ya uchumi hayana uhalisia ni siasa tu.
17% ndio wamepunguza ?Wamepunguza sana
Rubbish mwachieni LissuView attachment 3393487
Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara.
Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa zimeongezeka hadi kufikia TZS1,194,800,000,000.
Kupungua kwa mikopo chechefu kutoka 9.3% hadi 3.2% kunaashiria Tanzania sasa mzunguko wa fedha (M3) umeongezeka na hivyo kufanya biashara nyingi kuweza kukopa na kurejesha mikopo bila mikwamo kama ilivyokuwa hapo awali.
Mikopo watu lazima wailipe ila walipaji wanabakiwa bila kitu, (empty handed), cha ajabu wakimaliza kukopa wanakopa tena kwavile hawana pesa tena walikopa kuulipa huo mkopoView attachment 3393487