ina huuMaisha Bora kwa kila Mtanzania.
Raisi ameshasema atapeleka bajaj kubebea wagonjwa nazani ndio anafanya majaribio kama ata pikipiki kama itafaa.
Mambo yanasikitisha sana wengine wanabeba maiti na pikipiki uku MAMA SALIMA ANAENDA KWENYE KITCHEN PARTY NA MSAFARA WA LAND CRUISER 5.
Mungu uliyejuu tunaomba umpoke marehemu mahala pema peponi.
Duh so so sad
Ni jambo la kusikitisha sana mkuu wa nchi anatumia Mi. 300 kwenda kwenye mkutano wakati watu hata usaifir wa kusafirisha wapendwa wao waliokufa unakosekana
Mungu muweke mahali pema marehem huyo