Tanzania: 110 Foreign Nationals Given Tanzania Citizenship

wote sana lakini kwa wahindi inabidi tusimamishe kuwapa uraia coz tutakuwa kunatengeneza nchi ya India ndani ya mipaka ya Tanganyika kwani ni jamii ambayo pamoja na kuishi miaka zaidi ya 200 Africa na Tanganyika bado wamekataa kuchanganyika na jamii ya wenyeji kitu ambacho hakina Afya kwa umoja wa nchi
 
Na mimi huwa najiuliza kwanini wahindi wengi hawapendi kujichanganya na wabongo huku mitaani, wengi utawakuta kwenye magorofa mijini, ni wachache sana utawakuta huku mitaani, tena kama ni mtaani huwezi jua kama humo ndani kuna wahindi wanaishi humo
 
Sifa ya kwanza kupata uraia wa nchi yeyote kwanza ni lazima ujue kusoma,kuongea na kuandika Lugha ya nchi unayotaka uraia kwa ufasaha pili ukubali kuingia kwenye utamaduni wa nchi hyo tatu ukubali kushirikiana na jamii utakayoikuta ikiwamo kushiriki ktk mambo yote ya kijamii na kitaifa
Lakini mm naona kwa nchi maskini za kiafrika watu wananunua uraia si kuomba uraia kwani kunatofauti ya kununua na kuomba uraia

huwezi kuupata uraia wa Germany,Japan,Denmark na nchi zote za Dunia ya kwanza na ya pili bila kujua Lugha ya hzo nchi lakini Tanganyika unakuta muhindi raia wa Tanzania hajui hata kuongea tu kiswahili sasa unajiuliza huyu aliomba uraia au alinunua uraia
 
Back
Top Bottom