TANU Ilileta Uhuru CCM Imeleta Ushuru!

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Miaka 50 mnayodai ni ya kusherehekea uhuru. Mimi binafsi napinga hiyo ni miaka 50 ya kusherehekea ushuru kede kede kwa bidhaa ile ile moja.
 
Miaka 50 mnayodai ni ya kusherehekea uhuru. Mimi binafsi napinga hiyo ni miaka 50 ya kusherehekea ushuru kede kede kwa bidhaa ile ile moja.

tena iliyochakachuliwa,skuhiz had alizeti inapigwa mchokocho,c utani atiii!
 
ufisadi na mtu mmoja kuwa na vyeo kwa kadri anavyotaka yeye na vyote analipwa mshahara na posho kwa kufanya kazi nje ya kitu na hapo ndipo tunapomalizwa
kuna watu wako nje ya kituo toka walipoanza kazi kutokana na kuwa na nyadhifa nyingine
hongera ccm hakika utakufa
 
Back
Top Bottom