Hahaaaaa mpwaaa pengine chawaa,,viborobotooo wamemtembeleaaa sasa ntarudibadaeIngelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
Mwenyewe haijui. Kazi kwelikweli.Source of Information?
Wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi yaTANROADS haina uwezo tena wa kujiendesha, na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki, madaraja hayapitiki mengine yamekatika, kwa ujumla ni shida kubwa sana!
Serikali ya China imeingilia kati baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi wa kichina, imebidi China iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi.
Mwenye updates zaidi atujuze plzz!
msilaumu ndo watanzania iq zetu zilivyo. mrekebisheni tu ajitambueHuyu hajui kama yeye hajui(HAJITAMBUI)
TANROAD itafilisika vp wakati siyo kampuni Ya biashara?
Huwenda ame maanisha serikali!
TANROADS si taasisi, TANROADS ni wakala (Agency). Kumbuka hilo, hilo la kufilisika si kweli, labda ni wewe uliyefilisika kimawazo.
Babara ipi haipitiki? daraja lipi halipitiki?
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
wengine hawaaa loh..
hivii umeenda kumuaga BABA LULU???
80% ya wakandarasi wamevacate site mikoa yote kwa ajili ya malipo
Baba Lulu ndiyo nani? kumuaga anakwenda wapi?
Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
we c ni kada maarufu wa lumumba???Baba Lulu ndiyo nani? kumuaga anakwenda wapi?
sasa kama wakandarasi hawajalipwa muda Wa mwaka sasa ni kufanikiwa huko? hela za road fund ambazo ndo hutumika kulipa wakandatasi sasa ndo zinaendesha nchi,kwa kuwa nchi haina pesa
lazima wewe utakuwa miongoni mwa walioifilis tanroad. Povu la nn shusha data hapaIngelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
we c ni kada maarufu wa lumumba???
inamana leo humjui?
HUKUENDA KARIMJEE LEO?
sisi huwa hatuagi wanaoaga wamekwenda karimjee. Akawekwe anapostahili.
TANROADS si taasisi, TANROADS ni wakala (Agency). Kumbuka hilo, hilo la kufilisika si kweli, labda ni wewe uliyefilisika kimawazo.
Babara ipi haipitiki? daraja lipi halipitiki?
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
source of data?