TANROADS wafilisika rasmi!

TANROADS wafilisika rasmi!

Weks

Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
35
Reaction score
6
Wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi yaTANROADS haina uwezo tena wa kujiendesha, na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki, madaraja hayapitiki mengine yamekatika, kwa ujumla ni shida kubwa sana!

Serikali ya China imeingilia kati baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi wa kichina, imebidi China iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi.

Mwenye updates zaidi atujuze plzz!
 
Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
 
sasa kama wakandarasi hawajalipwa muda Wa mwaka sasa ni kufanikiwa huko? hela za road fund ambazo ndo hutumika kulipa wakandatasi sasa ndo zinaendesha nchi,kwa kuwa nchi haina pesa
 
kufilisika so lazima ufanye biashara hata ikishindwa kujiendesha yenyewe ninkufilisika huko
 
Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!

Mkuu umesema na la kwangu! Jamaa tena kaingia kwa majigambo mpaka nikakimbilia kuifungua kumbe hana hata uthibisho wa kile anachokisema! Hovyo kabisa, anastahili kupigwa ban huyu!
 
wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi ya tan roads haina uwezo tena wa kujiendesha,na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki,madaraja hayapitiki mengine yamekatika,kwa ujumla ni shida kubwa sana!

Serikali ya china imeingilia kati baada ya serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi Wa kichina,imebidi china iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi,

mwenye updates zaidi atujuze plzz

Sijawahi kukutana jf na uj**ga kama huu
 
Mimi wala sina taarifa kama wamefilisika, maana kila siku nawakuta kwenye mizani wanapiga kazi tu kama kawaida! Hvyo siyo kweli kwamba wameshindwa kujiendesha!
 
80% ya wakandarasi wamevacate site mikoa yote kwa ajili ya malipo
 
Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
mi naishia kusoma kwenye comment yako umemaliza kila kitu
 
80% ya wakandarasi wamevacate site mikoa yote kwa ajili ya malipo

Isikuogopeshe mkuu....Uchaguzi ni mwaka huu....labda wamepewa likizo ya miezi kadhaa hadi tarehe zetu zile halafu utaona kasi watakayo rudi nayo
 
Kufilisika sijui ...ila wakandarasi na consultants wana hali mbaya. Hawajalipwa kabisa kuna mmoja ni mwaka na nusu sasa hajapata hata senti ya malipo kutoka Tanroad.
 
Wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi yaTANROADS haina uwezo tena wa kujiendesha, na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki, madaraja hayapitiki mengine yamekatika, kwa ujumla ni shida kubwa sana!

Serikali ya China imeingilia kati baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi wa kichina, imebidi China iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi.

Mwenye updates zaidi atujuze plzz!

post zingine duu halaf unaomba kujuzwa brn at work
 
80% ya wakandarasi wamevacate site mikoa yote kwa ajili ya malipo

Waache wa vacate mamaaee,tender zenyewe walipeana kimaghumashi wakajiona wao wajanja,,waendelee na hiyo miradi sasa.
 
Sio Tanroad tuu, serikali hailipi! ..wafanya biashara wengi waliofanya biashara na serikali wana hali mbaya sana hasa wenye mikopo benki...hali ikiendelea hivi nyumba za dhamana ni mnada tuu!
 
1. Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya.
2. Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana.
3. Wamethubutu, wameweza na sasa wanasonga mbele.

Haya ndio matunda ya kuwa na "Serikali sikivu" Serikali ambayo imejaa mafisadi kuanzia Ikulu na katika kila wizara. Serikali ambayo imegubikwa na kashfa chungu nzima kila mwaka kuanzia 2005 mpaka 2015. Serikali ambayo kwa mwaka iliongeza deni la Taifa toka shilingi trilioni 10 mwaka 2005 hadi kufikia shilingi trilioni 35 mwaka huu huku kukiwa hakuna la maana lolote lilifanywa pamoja na kuongeza deni la Taifa kwa shilingi trilioni 2.5 kwa mwaka.

Wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi yaTANROADS haina uwezo tena wa kujiendesha, na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki, madaraja hayapitiki mengine yamekatika, kwa ujumla ni shida kubwa sana!

Serikali ya China imeingilia kati baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi wa kichina, imebidi China iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi.

Mwenye updates zaidi atujuze plzz!
 
Wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi yaTANROADS haina uwezo tena wa kujiendesha, na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki, madaraja hayapitiki mengine yamekatika, kwa ujumla ni shida kubwa sana!

Serikali ya China imeingilia kati baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi wa kichina, imebidi China iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi.

Mwenye updates zaidi atujuze plzz!

Source of Information?
 
kufilisika so lazima ufanye biashara hata ikishindwa kujiendesha yenyewe ninkufilisika huko

TANROAD hawajiendeshi.Hawa wana budget toka serikalini.Hawafanyi bıashara kubwa kugharamia uendeshaji wake pamoja na miradi.Kılichofilsika n Gov labda.Wakandarasi kutokulipwa n wafadhl kutokuleta hela kwa wakati,n brbr chache sana na madaraja zinajengwa kwa makusanyo yetu ya ndani.s
 
Back
Top Bottom