TANROADS njooni muone aibu

Kuna fly over mbili pale, pale njia panda ya goba ni flyover kwa ajili ya hizo njia nne, na pale karibu na stand ni flyover ya mabasi kutokea stand
Bora wajenge aisee maana wametia aibu sana. Japo nahisi Itakua ya kizushi sana hadi wanaona aibu kuonesha ramani yake. Huwa hawakawii kushare ramani ndo maana nnawasiwasi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…