Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,256
Nafikiri Idara ya Mambo ya Kale walipaswa kuzingatia taratibu na sheria za kuweka mabango barabarani. Haijalishi kwamba watalii hawatajua kama kuna kitu cha kufanyia utalii hapo. Maana TANROADS wasipofanya hivyo, raia wengine nao watakuja na mabango yao hapo, kisa bango la idara hiyo limeachwa ili litangaze utalii.
Na ndio tatizo la kila mtu wa serikali kuweka kipaumbele katika kazi yake tu bila kufikiria in totality madhara kwa jamii na sekta nyingine.
Hii inaitwa polishing one's own apple.
Hapo wangeongea tu na kuhamisha bango bila kuwekeana mikwala.
Sasa tuwe wachokozi kidogo, lini TANROADS mtabomoa jengo la TANESCO pale Ubungo ili kutimiza matakwa ya sheria.
Absurdity at its best.