bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,206
- 2,899
siyo mahindi kuzuia maendeleo, bali halmashauri kuzifanyia kazi barabara za manispaaKwahiyo hayo mahindi yakulimwa masika ndio yanazuia maendeleo
nilikuwa nakaa katubuka 1997 na hakukuwa na mitaa iliyotengenezwa ila plan yake ilikuwepo, namaanisha kile kilichokuwa ni barabara hakikuwa kimeendelezwa na pembeni kulilimwa mahindi. sasa leo hii bado mitaa haijachongwa tu? na kodi na ushuru ndugu zangu waha wenzangu mnatoa tu?