kuweka X X ni sahii kabisa, kuna mvulugano wa mpangilio wa mabango hapa nchini, mengine yanaziba barabara, mengine hayaripiwi kodi, hivyo ni vizuri kuwa na mpangilio na yale yote yaliyoruhusiwa wawe na nembo au alama za kuonyesha kuwa yameruhusiwa kiharari kuwepo pale, kuna kona mbaya au kuziba hata mwanga wa taaa wakati wa usiku hivyo wahusika wapangilia vizuri ili mji uwe na mabango mazuri na mpangilio ya mji, chukulia mabango yote ya kumtangaza JK yangelipiwa ipasavyo tungekuwa na shilingi ngapi barabara za kijtonyama sizingepigwa pass kwa greda ili kupunguza mashimo