M Missile of the Nation JF-Expert Member May 24, 2018 13,505 51,111 Oct 21, 2020 #21 Chige said: Ukisikia tengeneza tatizo kwa makusudi kisha tatua ili majuha wakushangilie, ndiyo hiyo sasa! Hapo wanajua Magu wakati anaenda Dodoma kumalizia ratiba ya kampeni, atasimama hapo na kusema "...hakuna kuwabomolea wananchi nyumba"! Click to expand... Weka hii post sticky Na hilo ndilo litakalofanyika
Chige said: Ukisikia tengeneza tatizo kwa makusudi kisha tatua ili majuha wakushangilie, ndiyo hiyo sasa! Hapo wanajua Magu wakati anaenda Dodoma kumalizia ratiba ya kampeni, atasimama hapo na kusema "...hakuna kuwabomolea wananchi nyumba"! Click to expand... Weka hii post sticky Na hilo ndilo litakalofanyika
M Missile of the Nation JF-Expert Member May 24, 2018 13,505 51,111 Oct 21, 2020 #22 Patriot said: Fuata sheria! Usitake huruma ya uchaguzi, hata kama itakuwa miaka 50 ijayo kuna watu utawaponza. Waulize waliokuwa ubungo mataa na wana Kimara. Click to expand... Usanii tu, soon Magufuli akipita hapo utasikia anasema, hataki wananchi wake wabomolewe nyumba zao!. Hii ni Kampeni tu hii hakuna lolote watu tumeshamstukia!. Jiwe anajibu hoja za Lissu kwa kutumia ulaghai na umachiavelli Ni kama issue ya walimu ngazi ya Cheti. Asubuhi anatengeneza tatizo, jioni anatoa suluhu kwa kusema kuwa waendelee na kazi na eti anawapenda sana Jamaa ni msanii ajabu
Patriot said: Fuata sheria! Usitake huruma ya uchaguzi, hata kama itakuwa miaka 50 ijayo kuna watu utawaponza. Waulize waliokuwa ubungo mataa na wana Kimara. Click to expand... Usanii tu, soon Magufuli akipita hapo utasikia anasema, hataki wananchi wake wabomolewe nyumba zao!. Hii ni Kampeni tu hii hakuna lolote watu tumeshamstukia!. Jiwe anajibu hoja za Lissu kwa kutumia ulaghai na umachiavelli Ni kama issue ya walimu ngazi ya Cheti. Asubuhi anatengeneza tatizo, jioni anatoa suluhu kwa kusema kuwa waendelee na kazi na eti anawapenda sana Jamaa ni msanii ajabu
Hassan Mambosasa JF-Expert Member Aug 2, 2014 3,350 4,485 Oct 21, 2020 #23 Hivi kati ya hao wakazi na barabara nani alimkuta mwenzake? Je kama walikutwa walilipwa kupisha? Kama walikuta ipo, kwanini walijenga karibu na Hapo Maana sheria zake zipo wazi. Ukiukuta mradi na kujenga, utavunjiwa na hulipwi hata senti tano
Hivi kati ya hao wakazi na barabara nani alimkuta mwenzake? Je kama walikutwa walilipwa kupisha? Kama walikuta ipo, kwanini walijenga karibu na Hapo Maana sheria zake zipo wazi. Ukiukuta mradi na kujenga, utavunjiwa na hulipwi hata senti tano
S Salary Slip JF-Expert Member Apr 3, 2012 47,034 144,388 Oct 21, 2020 #24 Wanatengeneza tatizo ili kesho walitatue wapate kiki!!