Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
- Thread starter
- #21
zoba speedJamaa hata mwandiko wake ni wa kizoba, na uko speed ile mbaya

HAtaki kuwa benard Paul mnyangakaIla we jamaa ni mtu wa hovyo!
Mwanamke kakuhitaji yeye mwenyewe, halafu unajiona zoba eti kisa huna hela.
Kwani wewe ndiyo umemfuata? Si yeye mwenyewe kaja? Unashindwaje kumpatia hitaji lake? Au jogoo hawiki?
Kuna maswali zaidi...
Halafu unasema eti kakuzidi uchumi,
Kakuzidi uchumi sawa, lakini kuna kitu anakihitaji kwako tofauti na hela.
Hapa nimejibu kama haujatuletea hii kama chai.
Wape haki zao, kula pozi.
sawa mkuuIla we jamaa ni mtu wa hovyo!
Mwanamke kakuhitaji yeye mwenyewe, halafu unajiona zoba eti kisa huna hela.
Kwani wewe ndiyo umemfuata? Si yeye mwenyewe kaja? Unashindwaje kumpatia hitaji lake? Au jogoo hawiki?
Kuna maswali zaidi...
Halafu unasema eti kakuzidi uchumi,
Kakuzidi uchumi sawa, lakini kuna kitu anakihitaji kwako tofauti na hela.
Hapa nimejibu kama haujatuletea hii kama chai.
Wape haki zao, kula pozi.
ndio nani!HAtaki kuwa benard Paul mnyangaka