Tannesco banana, ukonga umeme hauna nguvu

Tannesco banana, ukonga umeme hauna nguvu

Diesel generator

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
706
Reaction score
663
Ni siku sita sasa umeme eneo la banana viwanda vya kuchana mbao vimesimama havifanyi kazi, umeme hauna nguvu ya kuzungusha au kuwasha motor mashine!! Tatizo ni nini?. Pamoja na kupigiwa cm sana hamjafika kutatua!! Shughuli za viwanda vya mbao zimesimama!!!. Mpaka nani awajulishe ndio mtafika?. Kama tatizo halitatuliki mtujulishe tuelewe.
 
Upungufu wa nguvu za umeme.

Ilikuwa kwa wanaume wa Dar sasa hivi upungufu wa nguvu umehamia kwenye umeme!
 
Back
Top Bottom