TANKING APP

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
560
Naomba msaada wadau....... Nahitaji namna au app ya kutrack mawasiliano ya simu ya mke wangu..........
 
Mkuu umejiandaa kufa na umejiandaa kabisa kutaka kuachana na mkeo

Nakutakia kila la heri
 
ishi nae kwa akili usiende kuumiza kichwa juu ya mkeo
 
Naomba msaada wadau....... Nahitaji namna au app ya kutrack mawasiliano ya simu ya mke wangu..........
Boss, unaijua hii app???. Hii inaitwa whatsappSPY ( ina option kama whatsapp web ). Utascan tu Code za shemeji then kwisha kazi. Utakuwa umemmaliza. Kila atavyokavyokuwa anachart we utakuwa unaona. Wakitumiana picha, video n.k vyote utakuwa unaona live. Tena now hata ukitaka kumjibia sms unaweza. Pia utaweza hata kumbadilishia profile picture.

Apps za whatsapp web zipo zinazoweza fanya hii kazi ila nyingi ni chenga, zinazingua, na server zao haziko strong na zina matangazo kibao.

Ila hii niliyonayo mimi ni kiboko. Ina MB 50.59

Nimeihifadhi kwenye madia fire, playstore haipo.

Mwenye kuihitaji aje PM na Elfu tatu tu ya maji.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…