Tangu wabadilishie gia angani ingekuwa vigumu sana kuamini wanachohubiri

Salam dm

Member
Apr 24, 2019
75
76
Kuna watu wanadhani wao wanakinga ya makosa wakifanya kosa wao hawaoni wanatafuta kosa Kwa mtu mwingine wakimpata watamlaumu nakutengeneza propaganda nyingi.
Mimi nashangaa sana kama watu hawa wataendelea na siasa za kilaghai namna hii maana yake wao kama wapinzani watatakiwa kubeba lawama zote,
Juzi cdm wanajitetea kuwa CAG amewaonea kuuita ripoti iliyoonesha kuwa kuna matumizi mabaya wao hawataki kukubali ukweli na kuwa waungwana tu Wala hawataki mtu mwingine ajitetee
Kwa fikra za namna hii watasababisha upinzani laghai ambao hauwezi kuwa na tija Kwa taifa,hivyo nashauri wabadilishie
 
Unaongea peke yako kama umetindikiwa.Waache wapambane na CAG
 
Back
Top Bottom