Sugu kashughulikiwa, mafanikio makubwa eti!
Wanajipanga
Acha uchochezi kijana usije ukaishia shimo la tewa.Raisi wa nchi yeyote anapimwa kwa Uchumi na Ajira
Tangu 2015 mpaka 2017..kuna graduates wangapi wameajiriwa Rasmi katika sekta binafsi na serikali?
Wizara ya Kazi - Inayo DATABASE kuhusu hizi taarifa?
Je, Kuna graduates (College and Varsity) wangapi wako bila Ajira Nchini Tanzania?
Ndio hilo tu.
Najua Sera ya Viwanda imeajiri wengi....Ila nataka taarifa sahihi ndio nitoe Pongezi
Ukiona hawajaajiriwa halafu mambo serikalini yanakwenda fahamu kuwa sio wa muhimuRaisi wa nchi yeyote anapimwa kwa Uchumi na Ajira
Tangu 2015 mpaka 2017..kuna graduates wangapi wameajiriwa Rasmi katika sekta binafsi na serikali?
Wizara ya Kazi - Inayo DATABASE kuhusu hizi taarifa?
Je, Kuna graduates (College and Varsity) wangapi wako bila Ajira Nchini Tanzania?
Ndio hilo tu.
Najua Sera ya Viwanda imeajiri wengi....Ila nataka taarifa sahihi ndio nitoe Pongezi
Matusi wanayotukanwa watanzania awamu hii hayaelezeki .Walimu ndio hawapati kabisa maana nasikia ana mpango wa kuwatoa secondary na kuwapeleka primary
Namaanisha mafaniko ya awamu hii ni pamoja na kumfunga suguMamaaa, Tobaaa
Ndugu zangu nani awape ajira??Nani mwenye mapenzi ya dhati na nyinyi???
Ukiona hawajaajiriwa halafu mambo serikalini yanakwenda fahamu kuwa sio wa muhimu