Tangu Dkt. Mwigulu aingie madarakani haya yametokea

Kipindi cha Magufuli sukari tu ilipanda bei kutoka 1400 hadi 2400, CHADEMA walipiga mayowe balaa kupinga hali hiyo.

Lakini sasa hivi wanalamba asali wako kimyaa, Mbowe yuko bize kuhudhuria Ikulu tu bila kukemea chochote.

Ona vitu vilivyopanda bei sasa hivi

1: Tozo elfu 50 toka elfu 2500 sasa hadi 5,500

2: kuunga umeme toka elfu 27 hadi 320,000

3: IST showroom 12.5 million hadi 18.5 million

4: Petrol 2250 hadi 3900

5: aluminium windows 200,000 hadi 400,000

6: Bati 31,000

7: cement: 13,500 hadi 19,000

8: chips kavu: 1500 hadi 2000

9: Nauli dalaldala toka 400 hadi 500

10: bajaj nauli 500 hadi 1000
Nyama kutoka 8000 mpaka 13,000
11.Mafuta ya kula kutoka 3000 per lita mpaka 8500

12.Mpira kibanda umiza kutoka 500 mpaka 1000

13. Nondo ya milimita 12 kutoka 11,000 mpaka 28,000

14. Mbolea kutoka 50,000 mpaka 160,000

15. Kipande cha sabuni kutoka 500 mpaka 800
 
Sa'ivi issue inayowasumbua na ndio wapo kwenye Mapambano ya Kufa na kupona ni Covid 19......!
Ukiwaletea hbr hizo Unawachanganya..!
Embu waache kwanza wapumue.!
 
Joker angekuwepo upinzani ungelikemea mifumuko ya bei?

Upinzani aliuuwa kabisa,na alisema yeye ni raisi anayejielewa hafundishwi kazi hakuna mtu angelopoka.

Maendeleo hayana chama
 
Upinzani wowote ule dunian upo kwaajili ya ikulu na kushika nchi.

Hayo mawazo waliyowajengea waTz kuwa wapinzan.wako kwaajili ya kuwatetea ni uongo mkubwa, hakuna mwanasias wa kupoteza muda wake na mali zake kwaajili ya kukupambania mtu asiyekujua ,na hapa ndipo penye ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuusikia.

Hiyo katiba mpya&tume huru ya uchaguzi ni maombi ya wanasiasa kuhakikisha wanapata wepesi wa kuingia ktk nyazifa mbalimbali za kitaifa na sio kwaajili ya maendeleo ya wananchi.

Vyama vyote vinavyopgania demokrasia ukiangalia hata ktk katiba za vyama vyao ni hovyo na kumejawa udictecta, so why wailaumu serkali ya ccm pekee?

Hawa hulalama pale wanapobanwa ulaji wao na wepesi wa kushika uongozi.

Vyama vyote vya siasa Nchini ni takataka
 
Umenena vyema sana
 
sisi hiyo cdm wala hatuifagilii kihiivyoo. tunajua ni njia tu ya mtu kujipatia kipato chake kikatiba kama aliyekuwa anaimba mapambio wakati wa simba wa kule. tunachotaka tusifungwa na kulazimishwa tumuimbie fulani mapambio wakati tuna utashi wetu bila kuvunja sheria. kuhusu kuchukua dola piganeni mpaka mchakae ila sisi tuleteeni hoja tuzipime tufanye maamuzi, sio kutulazimisha na kufanya wizi wa kura na kusema fulani mbaya kuliko nyinyi mlioharibu nchi tangu iliposemwa kuwa nchi imekuwa huru
 
Back
Top Bottom