Tangazooooooo, Nokia E72 inauzwa 75,000 tu.

Tangazooooooo, Nokia E72 inauzwa 75,000 tu.

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
E72 Nokia niko nayo na ndiyo hii ninayoitumia. Nataka niiuze ili niongezee hela nikanunue c7.

Hadi Whatsapp ipo niliidownload.

Ni nyeupe na ipo katika hali nzuri kabisa na ni original.

Hakuna cha kurekebisha zaidi tu ya Key pad ( kuna batani mbili zimetoka

Mimi nipo Dar.
 
Kaka utakubali nikupe 60 mi niko Rombo.
 
Kaka utakubali nikupe 60 mi niko Rombo.

aisee hapo sipunguzi hata shilingi. Simu iko poa haina tatizo hata moja zaidi tu ya key pad zilizotoka ambapo kesho tu nilipanga nienda kuzirekebisha
 
Sasa umesema haina tatizo huku key pad zimetoka inamaana hilo sio tatizo? Weka picha
 
Sasa umesema haina tatizo huku key pad zimetoka inamaana hilo sio tatizo? Weka picha

Mkuu, mi nina simu moja tu ndiyo hii E72 na ndiyo hii ninayoitumia na ndiyo hii hii ninayoiuza. So, nashindwa kuipiga picha. Ila kama uko poa sema nikuletee uicheki mwenyewe mkononi. Naamini utaikubali tu. 0715553166
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom