Chuo kipya cha Uchaga kinatangaza kozi zifuatazo:
i) Ubahili miezi 3
ii) Ulevi miezi 3
iii) Kutafuta pesa miezi 6
iv) Kuacha wake vijijini miezi 2
v) Kuendesha pikipiki mwezi 1
vi) Kusogeza mipaka ya shamba la jirani wiki 3
Wahi mapema nafasi ni chache, upendeleo maalum utatolewa kwa wachaga wote ambao hawakuzaliwa na kukulia Moshi.
Annina