Tangazo

Tangazo

jossey1979

Senior Member
Joined
Apr 28, 2008
Posts
172
Reaction score
42
1009862_688325314520372_1805517301_n.jpg
 
Aliyefanya upuuzi kwanini asiwe targeted yeye mwenyewe badala ya kuhusisha familia nzima?
 
Unaamini hii kitu?
Hiyo kitu ipo sana tu kuna familia iliteketekea kwa ajili ya mtu mmoja kwa sababu alitokomea na fedha za watu, baada ya kumfuatilia akawa hapatikani, tulikua kila siku tunazika mtu kwenye familia yao baada ya watu wanne kufariki ndo kuanza kutafuita watu wanaofanya hivyo ndo kuambiwa kuwa jamaa alichukua pesa ya biasharapotea ya watu na wanatakiwa kurudisha na jamaa aliyechukua pesa akawa mtu wa tano kufariki ndani ya siku tano tulizaika watu watano familia moja.usicheze na watu utapotea
 
Haya mambo yapo,Hakuna uchawi ila imani za kishirikina zipo na zina nguvu sawa sawa na imani nyingine...
 
Hiyo kitu ipo sana tu kuna familia iliteketekea kwa ajili ya mtu mmoja kwa sababu alitokomea na fedha za watu, baada ya kumfuatilia akawa hapatikani, tulikua kila siku tunazika mtu kwenye familia yao baada ya watu wanne kufariki ndo kuanza kutafuita watu wanaofanya hivyo ndo kuambiwa kuwa jamaa alichukua pesa ya biasharapotea ya watu na wanatakiwa kurudisha na jamaa aliyechukua pesa akawa mtu wa tano kufariki ndani ya siku tano tulizaika watu watano familia moja.usicheze na watu utapotea

Mh!! ngoja kuna wengine watakuja kutudhibitishia. Majimoto
 
Last edited by a moderator:
Taamu
Ushirikina ni wazo ambalo halina sababu yenye msingi katika maarifa au mang'amuzi

Neno hili hutumiwa kwa kutaja imani ambazo hazina msingi<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate> ilihali
Uchawi ni nguvu za giza zinazotumiwa na jamii nyingi, hasa za Kiafrika, kwa ajili ya mtu kuumiza watu wengine kimazingara, au kwa ajili ya kujilinda au kwa ajili ya kujifurahisha kwa kuwatesa watu wengine kwa kuwachukua msukule au kuwafanya waugue au wafe. Mara nyingi, wachawi hudai kwamba wanaweza kuwasiliana na roho kama mashetani, majini, vigwengo, vinyamkera na kushirikiana navyo. Ref. Kamusi elezo huru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom