Tangazo

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,369
Msichana mzuri aliweka tangazo kwenye gazeti akisema anatafuta mwanaume atakayemwoa,ambaye hata mwacha na atamridhisha kitandani.
kesho yake akashangaa jamaa anagonga mlango hana miguu wala mikono.mjadala wao ukawa hivi.
Mrembo:unagonga unataka nini wewe?
Jamaa:niliona tangazo lako kwenye gazeti,nimeamua nikuoe
Mrembo:nitakupeleka wapi mtu huna miguu wala mikono.
Jamaa:una bahati kuwa na mimi,sina mikono kwahiyo siwezi kukupiga,sina miguu kwahiyo siwezi kukuacha.
Mrembo:sasa we kweli kitandani uko fiti?
Jamaa:sasa ndo ujiulize sina mikono wala miguu ila mlango niliugonga na nini.
 
Ali2mia mdomo kugonga mlango bana au..............................??
 
duuu...ina maana aligonga kwa rungu?
bila shaka uyo dada ataomba talaka mara 2
baada ya gemu ya kwanza tu.
 
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh! atakomaje
 
Mlango uligongwa kwa kichwa.
 
Huyo dada ana bahati sana kumpata mwanaume kama huyo, hajui tu!Nasikia watu kama hao guu wao wa kati nomaa!
 
Apo mtu mzima lazima atagwaya mapigo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…