Tangazo! (?)

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
new-image.jpg

...hivi, unamchukuliaje anayejitangaza ameachwa/amemuacha "mpenzi" wake?

just-divorced.jpg
 
Wanasema kama niliolewa kwa mbwembwe ntaacha/achwa kwa mbwembwe!I personally wouldn't go as far as throwing a party but the occasion might be worth being happy about!Kama unaachana na mtu ambae alikua anakunyima raha kwa namna moja ama nyingine then utakua unapiga hatua kuelekea kwenye furaha binafsi..na hiyo hatua inastahili kabisa kufurahiwa!So although having a party for such an occasion might be a bit childish I wouldn't be very suprised!Kama mtu ana furaha acha aonyeshe anavyotaka!
 
mmmhh hii dunia ya sasa my dear
vitu vingi ambavyo ni kinyuma na maadhimio ya jaamii
ndo ambayo yanayo sherehekewa..
kwa hiyo mie hata si shangai ..
kila siku na subiria tu jambo lingine
mpaka hapa hii dunia yetu ifike mwisho wake ...
hii kali nilioona kwenye Tyra show muda si mrefu lol..

u know dunia ya sasa kila mtu anafanya atakalo
na ndo maanake ...
we can't say much ..
Coz we are no one to judge any one ...
 
Itakuja party ya kutolewa bikira au ya first sex with a new partiner, yaani dunia hamnazo inatisha
 
Mi sawa na Party za uzinzi tu, coz Contents zake (kwa imagination zangu) zinakuwa hivi

1) Mnaelezea watu jinsi mlivyokuwa mnaishi na mlivyoanza kukorofishana
2) Mnaelezea kilichowaachanisha (Kama ni fumanizi, hamfikishani, nanii zenu zimepishana sana saiz n.k)
3) Mnakula kiapo upya cha utenganifu (anakuwepo mtu aliyevaa mithili ya shetani akiwaongoza kwa sala za kishetani)
4) Mnavuana pete zenu za ndoa hadharani na kupigana masingi kama ishara ya kwamba hampendani tena
5) Mnakabidhi vyeti vyenu vya ndoa kwa shetani
6) Mnakuwa mmeshaandaa mahawara zenu wa kulingishiana hadharani ambapo mkishakula kiapo mnaanza kujirusha na hawara zenu LIVE bila zengwe
7) . . . . . . .
8) . . . . . ...
 
Mmmmmmh, lakini bora tu, kama hiyo ndo furaha ya huyo mtu anayefanya hivyo na afanye tu!!!
Hakuna Mungu anayependa mwingine aishi maisha ya utumwa kwa mwanadamu mwenzie!!!
 
Mhhhh! Mkuu Mbu labda anafurahia kuachana na kero za kila aina ndani ya ndoa yake na kuwa huru tena uhuru ambao ameukosa si ajabu kwa miaka mingi tu.

Just A Dream - Nelly | Music Video | VEVO

Wanasema kama niliolewa kwa mbwembwe ntaacha/achwa kwa mbwembwe!I personally wouldn't go as far as throwing a party but the occasion might be worth being happy about!Kama unaachana na mtu ambae alikua anakunyima raha kwa namna moja ama nyingine then utakua unapiga hatua kuelekea kwenye furaha binafsi..na hiyo hatua inastahili kabisa kufurahiwa!So although having a party for such an occasion might be a bit childish I wouldn't be very suprised!Kama mtu ana furaha acha aonyeshe anavyotaka!
Mmmmmmh, lakini bora tu, kama hiyo ndo furaha ya huyo mtu anayefanya hivyo na afanye tu!!!
Hakuna Mungu anayependa mwingine aishi maisha ya utumwa kwa mwanadamu mwenzie!!!

...sawa sawa, lakini yale makelele na matusi ya "...Mwanaume/Mwanamke gani wewe! ....!" nk... kiasi cha majirani kuzima redio kuwasikiliza vizuri, yanahusu nini? ... haiwezekani kuachana kimya kimya bila makeke na majigambo?

Ni kweli DIVORCE inamfurahisha mtu kiasi cha kujiskia kushangilia kwa nguvu zote, au "anajipaka mafuta kwa mgongo wa chupa?" asionekane loser?

Itakuja party ya kutolewa bikira au ya first sex with a new partiner, yaani dunia hamnazo inatisha

...mbona yapo zamani haya bana? ...Kila jamii ina mila na desturi zake, tofauti kuiga tu!
 
Embu fikiria kama una watoto utafanya hiyo party mbele yao? nahisi wanaweza kukuchukia maisha yao yote na kuhisi wewe ndio chanzo cha kuvunja familia hata kama sio wewe mwenye matatizo. Nafikiri unapooana na mtu unategemea uishi nae milele, kwa hiyo ikitokea mmeachana lazima uwe dissapointed sana sidhani kama kuna cha kusherekea hapo
 
Minafikiri kwa wanaoamini Mungu hichi si kitu cha kufurahisha.
je huyo mwiba wake akifa sindio itakua bonge la party kwa misingi hiyo?
 
Kila mtu afanye kile nafsi yake inachoridhia.....kama inampunguzia maumivu aliyopata its just ok.......!!! Kuliko kwenda kulala nyumbani na kulia...have fun about it and face life after that....!!
 
...sawa sawa, lakini yale makelele na matusi ya "...Mwanaume/Mwanamke gani wewe! ....!" nk... kiasi cha majirani kuzima redio kuwasikiliza vizuri, yanahusu nini? ... haiwezekani kuachana kimya kimya bila makeke na majigambo?

Ni kweli DIVORCE inamfurahisha mtu kiasi cha kujiskia kushangilia kwa nguvu zote, au "anajipaka mafuta kwa mgongo wa chupa?" asionekane loser?

...mbona yapo zamani haya bana? ...Kila jamii ina mila na desturi zake, tofauti kuiga tu!

Kwahiyo tatizo hapa sio kitendo cha mtu kuhisi amani kiasi cha kuweza kusherekea bali ni kitendo cha mtu kujitamba na kumtusi mwenzake???Well hiyo haihitaji sherehe wala sio mpaka watu waachane ndo waanze kuambiana mwanemke/mwanaume gani wewe.Inatokea kila siku na itaendelea....watu hua wanatumia hiyo kama njia moja wapo kujiliwaza kwamba yeahh nimeachana na wewe au umeniacha ila mimi ndo mwenye faida maana hata hukua na maana!!!
 
Embu fikiria kama una watoto utafanya hiyo party mbele yao? nahisi wanaweza kukuchukia maisha yao yote na kuhisi wewe ndio chanzo cha kuvunja familia hata kama sio wewe mwenye matatizo. Nafikiri unapooana na mtu unategemea uishi nae milele, kwa hiyo ikitokea mmeachana lazima uwe dissapointed sana sidhani kama kuna cha kusherekea hapo

Not if you being together was hurting them more than your being apart!!!Kuna watu wanatamani wazazi wao waachane na hua wanamlaumu mzazi mmoja kwakubaki kwenye ndoa yenye manyanyaso ambayo hata wao yamewaathiri.Mf mzuri hapa ni baba mkorofi anaegawa mkong'oto kwanzia kwa mama mpaka watoto bila sababu!!!
 
Huyu nadhani aliingia kwenye NDOA akidhani ni RAHA MUSTAREHE - Kumbe sivyo - Alichokipata huko ndiyo maana anakuja na party - Simply a consolation of some kind!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom