Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hayo hayo maombi yamesababisha mm nitoe miguu yangu kwake nasubiri ajaze fomu niliyotoka nayo mahakamani kisha tuende kwenye baraza la wazee, na baraza la la Baba V
thanx much pacha
yamenipata mabwaku nipage pole mweeeh!!
​poa pacha ukifika kwa rum nitonye!!pole sana, ngoja nije chumbani unijuze pacha!
vipi Evelyn Salt..umeona fursa?
yamekusibu yapi pacha mbona umechange ghafla?
Ngoja niwapelekee taarifa:-
watu8
measkron
Arushaone
Madame B
Bishanga
Heaven on earth na mumeo Ruttashobolwa
jamani my pacha Passion Lady ndio dismynder 1 mkikutananaye mitaanimsije mkamrushia mawe!!!!!!
Noo naomba msimamo wako..uko upande wa nani!??
Na wewe ukinikubali SACCOS nafunga kabisa!!!
Nimepokoe kwa masikitiko taarifa hii
from Passion Lady to @dismynder 1 why!!!!
Na wewe ukinikubali SACCOS nafunga kabisa!!!
hata mimi sijui kimemsibu nini pacha wangu
Niliona amekuita kule chamber kwetu,ulienda
akusimulie kisanga chake!!!!