Hili tangazo ni mojawapo ya meengi yaliyopo kwenye pages za JF.
![]()
Hivi wakubwa zangu kitengo cha JF Marketing mnafanya screening ya haya matangazo kabla ya kuyaweka au mnapaste tu?
I take this girl to the hospital, if police come till him Chonya of Chilonwa me!!
I take this girl to the hospital, if police come till him Chonya of Chilonwa me!!
Balisidya....mwandishiMkuu, nikumbushe riwaya gani vile?!!!!...long time zamani
daah umenikumbusha mbaaaali......
Mkuu, nikumbushe riwaya gani vile?!!!!...long time zamani
I take this girl to the hospital, if police come till him Chonya of Chilonwa me!!
umenikumnusha vitabu vya zaman!
lakini jamaa waliachwa hoi kwa ung'eng'e huo!
WELL SPOKEN!Tangazo = Fedha
Kama muundo wa lugha umekosewa kosa sio la ubao wa matangazo, bali kosa ni la mwandishi wa tangazo.
Katika hili sioni kama JF wana la kulaumiwa, kama mshiko washalamba na tangazo limewekwa.
Vigezo muhimu amavyo huwa najua vinatakiwa(sio JF tu, bali hata kwa sites nyingine) ni vya kiufundi zaidi mathalani "format ya picha ie jpg, png, gif etc", "size ya picha in pixels, cm, inches etc", content ya tangazo isiwe na violations zozote au maslahi yoyote kinyume.
Ukilaumu JF kwa tangazo lenye kosa unaloliona humu, basi laumu na posts zenye makosa ya kisarufi zinazopewa nafasi pia humu.