Tangazo la Wana-Kigoma Mjini kupotelewa na mbunge wao Serukamba

bluetooth23

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
348
0
Sisi wana Kigoma hatujui mwakilishi wetu amepotelea wapi, juhud zetu za kumtafuta zimegonga mwamba, namba za sim alizokuwa anatumia kwenye kampen hana tena ashazibadili, tumepata habari tu kuwa anapatikana sana maeneo ya Mikocheni dsm kwenye bar iitwayo Cruz Inn akiwa sana na Fred Lowassa, mara chache sana dodoma na monduli sijui anafanya nin kule. Ni miaka miwili hajaja kwetu huku, mara ya mwisho alikuja kumpokea raisi alipokuja huku na tunafikiri aliondoka naye, afadhali anayeonekana huku hata kidogo ni Zitto Kabwe mbunge wa jimbo jirani naye anapita tu akitokea Tanganyika Beach Hotel. Atakayetuonea mlengwa wetu ampe salamu kuwa tumemkumbuka sana na sura yake tumeanza kuisahau.
 
Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,588
2,000

Angalieni TBC1 Leo Pengine ataonyeshwa Live akitumia neno Mbadala wa Lile lingine la Neno F....
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,238
2,000
amepotea...? wani simeshawalipa kipindi cha kampeni? mwacheni ajilie vyake sasa.....
 
Kababi

Senior Member
Dec 24, 2010
168
0
Monduli hajafika huku mchecki Salidalama.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,999
2,000
msihofu mtamwona 2015 wakati wa kampeni ukifika!!! sasa hivi anawatafutia hela za kuwapa!!
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,534
2,000
Msihofu anaandaa kamusi ya matusi ya kupambana na wapinzani wake mwaka 2015, si mnajua alivyo mahiri kwa matusi? Nasikia anasaidiana na kibajaji kule mjengoni!
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,257
2,000
Kwani mlimuuzia ubunge kwa ajiri ya nini?mwacheni anatafuta faida ya mtaji aliotumia.
 
mapugilo

Senior Member
Oct 9, 2012
128
225
We need to change we tanzanians wabunge weng njaa kali wakipata tu huwaon jimboni zao DSM na kula bata tuu,tucpo change we shall always cry for our stupidity
 
Surambili

Member
Nov 17, 2013
12
0
Bora huyo walau huyu Eustace Katagira wa Kyerwa tangu alipopewa ubunge 2010 ndo alipewa tiketi ya mojakwamoja hata hayo matusi hatuyasikii cjui huwa anakuwemo bungeni? sasa najiandaa kumwondoa.
 
LUDUBULA

Senior Member
Dec 7, 2013
137
0
Sisi wana Kigoma hatujui mwakilishi wetu amepotelea wapi, juhud zetu za kumtafuta zimegonga mwamba, namba za sim alizokuwa anatumia kwenye kampen hana tena ashazibadili, tumepata habari tu kuwa anapatikana sana maeneo ya Mikocheni dsm kwenye bar iitwayo Cruz Inn akiwa sana na Fred Lowassa, mara chache sana dodoma na monduli sijui anafanya nin kule. Ni miaka miwili hajaja kwetu huku, mara ya mwisho alikuja kumpokea raisi alipokuja huku na tunafikiri aliondoka naye, afadhali anayeo
Mtakoma, si nyie mnajidai hamjui kujibu mapigo kupitia masanduku ya kura kaeini kimya kabisa.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
7,429
2,000
Kigoma mna matatizo makubwa sana, hata juzi niliona tangazo la Zitto kwamba ofisi yake iko Dar lakini anawakilisha jimbo moja la Kigoma. Mimi mbunge wangu sidhani kama anajua hapo Ubungo, tunabanana nae hapa A town hana shida
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom