Tangazo la Wana-Kigoma Mjini kupotelewa na mbunge wao Serukamba

poleni jamani ndugu zetu kwa kupotelewa na mbunge wenu huenda wameshamtema kiaina bungeni nanyi hamjui fuatilieni kwenye vyombo vya habari mjue undani wake lasivyo mtanyimwa haki zenu za msingi alizowahadia pindi alicpokuja kuomba ubunge huko
Sisi wana Kigoma hatujui mwakilishi wetu amepotelea wapi, juhud zetu za kumtafuta zimegonga mwamba, namba za sim alizokuwa anatumia kwenye kampen hana tena ashazibadili, tumepata habari tu kuwa anapatikana sana maeneo ya Mikocheni dsm kwenye bar iitwayo Cruz Inn akiwa sana na Fred Lowassa, mara chache sana dodoma na monduli sijui anafanya nin kule. Ni miaka miwili hajaja kwetu huku, mara ya mwisho alikuja kumpokea raisi alipokuja huku na tunafikiri aliondoka naye, afadhali anayeonekana huku hata kidogo ni Zitto Kabwe mbunge wa jimbo jirani naye anapita tu akitokea Tanganyika Beach Hotel. Atakayetuonea mlengwa wetu ampe salamu kuwa tumemkumbuka sana na sura yake tumeanza kuisahau.
 
Mtaanza kumuona kuanzia mwakani akija na gia ya mashindano ya mpira ya "Fakyu Cup" huku akigawa jezi, mipira, na kujifanya anatembelea vikundi vya kinamama ili 2015 muone mlikuwa naye. Kwa sasa anakula bata Dodoma na Dar huku akitengeza kamusi ya matusi ya kuyatoa bungeni. Hongera mna mbunge kidume cha matusi kama wale wenzenu wa pale Singapore wenye kidume cha kuandaa na kubambika watu kesi za ugaidi
 
Bora huyo walau huyu Eustace Katagira wa Kyerwa tangu alipopewa ubunge 2010 ndo alipewa tiketi ya mojakwamoja hata hayo matusi hatuyasikii cjui huwa anakuwemo bungeni? sasa najiandaa kumwondoa.

Kwani katagira bado ni mbunge jamani, ebu tujuzane jamani.
 
Haka kauzi kama kana ID ya pili maharufu
Tena ya Mwami maana anajuwa kulega toka mbali balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom