Tangazo la onyo.


taamu

taamu

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
5,815
Likes
1,808
Points
280
taamu

taamu

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
5,815 1,808 280
Duh inaelekea wakimkamata watamuunga na gari la madiba r.i.p
 
kadakokigondile

kadakokigondile

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2013
Messages
1,712
Likes
2
Points
135
kadakokigondile

kadakokigondile

JF-Expert Member
Joined May 17, 2013
1,712 2 135
Hahahahahaha hilo onyo kiboko ....sasa najiuliza adhabu gani itatolewa ......mmmm
Kajaribu kurusha taka kisha utatufahamisha ni adhabu gani umeipata ili na sisi tujiepuse
 
NullPointer

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Messages
3,480
Likes
722
Points
280
NullPointer

NullPointer

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2011
3,480 722 280
Hiyo inaitwa HUTOAMINI
 
Mshomba

Mshomba

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Messages
1,629
Likes
207
Points
160
Mshomba

Mshomba

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2013
1,629 207 160
Hapo dawa yake kama una rundo la taka unaweka hapo kimya kimya usiweke kwa kurusha maana adhabu yake haijaidhinishwa hapo
 
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
6,127
Likes
1,555
Points
280
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
6,127 1,555 280
Huo mkwara tu, wao wenyewe hawajui hata adhabu ya kumpa,
Eti atakiona, atakiona nini sasa?
 

Forum statistics

Threads 1,252,214
Members 482,048
Posts 29,800,701