Tangazo la ndoa

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,275
Reaction score
1,222
Wakuu kwa mara ya kwanza napenda kutangaza ndoa kati ya mtz one na Madame B hivyo yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii ajitokeze nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Mmh naona leo mmeamua kuoa ngoja na mimi nitangaze ndoa!
Ila huyo mkeo mtarajiwa mbona kama ni mke wa mtu au namfananisha?
 
mtz one wewe utakuwa mume wa ngapi + washika pembe?
 
Last edited by a moderator:
nimenyosha mikono juu naona hujaniona mkuu
naomba mwongozo wako mkuuu
japo niseme ya moyoni mwangu kwanini mm namfahamu Madame B ana mume wake Chimbuvu na alishaachana na Ben Saanane sasa sijui kwanini ndoa hii imepitishwa na kupewa kibali cha inspecta Baba V ?
Wakuu kwa mara ya kwanza napenda kutangaza ndoa kati ya mtz one na Madame B hivyo yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii ajitokeze nawasilisha
 
Last edited by a moderator:

Aliolewa nao au alitembea nao tuu? Kama kuna pingamizi la haki Baba V atasitisha ndoa
 
Last edited by a moderator:
tunakuambia ndugu usijetumbukia shimoni bure wakati bado mapema haya shauriro kwani asiyesikia la mkuu uvunjika guu haya bhana mm sikulazimishi ni mapendo yako tu kwake na sitaki kumharibia mdada wa watu mie akaaaaaaaaa!
Aliolewa nao au alitembea nao tuu? Kama kuna pingamizi la haki Baba V atasitisha ndoa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…