Mmh naona leo mmeamua kuoa ngoja na mimi nitangaze ndoa!
Ila huyo mkeo mtarajiwa mbona kama ni mke wa mtu au namfananisha?
tangaza dia nakusubiri kwa hamu.
hivi unamjua Ben Saanane? halafu nani kakwambia Madame B anaolewa yeye ni pesa yako unajilia halafu unalala mbele
nimenyosha mikono juu naona hujaniona mkuu
naomba mwongozo wako mkuuu
japo niseme ya moyoni mwangu kwanini mm namfahamu Madame B ana mume wake Chimbuvu na alishaachana na Ben Saanane sasa sijui kwanini ndoa hii imepitishwa na kupewa kibali cha inspecta Baba V ?
Aliolewa nao au alitembea nao tuu? Kama kuna pingamizi la haki Baba V atasitisha ndoa
We ulijua dem? Mkuu ndo mana ulinishambulia?