mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
Kila la kheri
Mwaaaaaah my mkiva, ♥♥♥♥
Muheshimiwa mkiva come this way uone mikopa ya kushiba!
Yote mikopa yako hii !
Mie niko happy sana na ndoa yenu! Ingawaje jana mkeo mtarajiwa alinitusi maeneo flani , hata hivyo nilishamsamehe pasipo malipo!
Niwatakie kila la kheri ktk hili .
Hahahahahahaaa jmn jmn, nsamehe bure mc wetu, ila yule mgeni wetu ndo aliekutusi!
Muheshimiwa mkiva come this way uone mikopa ya kushiba!
Yote mikopa yako hii !
Mie niko happy sana na ndoa yenu! Ingawaje jana mkeo mtarajiwa alinitusi maeneo flani , hata hivyo nilishamsamehe pasipo malipo!
Niwatakie kila la kheri ktk hili .
Mwaaaaaah my mkiva, ♥♥♥♥
Mmmh!
Hii ni ndoa ya mitara au ni mke mmoja?
Mi bana nasaka mabinti watatu hapa jf niwaoe kwa pamoja!!
Vipingamizi viletwe baada ya miaka 15 ya ndoa! Full stop!
mke wangu umemtusi mc?