Tangazo la Lowassa Clouds FM

Tangazo la Lowassa Clouds FM

Nikweli kabisa. Sijawahi kuona habari ikiangaliwa nje na ITV. Hata mie mwenyewe siwezi kuweka tbc wa star tv au nyinginezo. Najua ITV nitapata habari za ACT, CHADEMA + UKAWA, CCM, CHAUMA etc.

wewe ndo uko pamoja namimi itv unaweza kupata habari toka vyama vyote tofauti na tbc au star ambao wana mapenzi na mgombea fulani shida ni pale umdhaniaye atashinda kumbe sivyo
 
ndugu zangu nimeamini kweli mabadiliko yanakuja baada ya kusikia tangazo linalo mnadi lowassa clouds fm.

Ninaamini kama ni enzi zile hakuna redio wala chombo chochote cha habari kingekubali kupokea tangazo la kumnadi mgombea wa upinzani. Japo ni biashara.

Go lowassa go mungu ibariki tanzania, mungu mbariki lowassa.
viva lowasaa..viva ukawaa..!
 
Unaposema ndio most viewed/watched una ushahidi gani? Au hisia zako zinakutuma ndo ukajua kila mtu anaangalia ITV. KUmbuka, "No research, no rights to speak".

Wape TWAWEZA kazi ya research na wakubaliane sana
 
Ndugu ninkaa sana Kwenye Ma bar, Kipindi cha nyuma walikua Taarifa ya habari ilikua lazima waweke TBC, lakini baada ya kuonekana mwenendo wake kipindi hiki cha campaign sijawahi kuona Bar yoyote inaweka Taarifa ya habari TBC. siandiki kishabiki naandika ukweli na Mungu ndio shahidi wangu

Na Wengi Wanaokaa Huko Baa Ni Wachaga AMBAO Wengi Wao MTUME Wao Ni Mbowe Wewe Na Wanaipennda ITV Kwa Kuwa Pia Ni Ya Ndugu Yao Mwingine Mr. Neutral Ze Big Noise Hivyo Kuna Ka Element Ka UKANDA. Wewe Ulitegemea Wachaga Waangalie Channel Gani Labda Badala Ya ITV Ya KIKABILA?
 
Kama kubarikiwa alishabarikiwa, abarikiwe mara ngapi, kubarikiwa sio lazima awe President

Kwahiyo Hata " KUNYA " Hovyo MAJUKWAANI Kama Kule Geita, Chato Na Kidogo Tanga Napo Ni " KUBARIKIWA " Mmmmmh Kama Mwenyezi Mungu Huyu Huyu Tunayemwabudu 24/7 Anawabariki " WANYAJI " Basi Itanibidi Nimtafute Mungu Wa UKWELI.
 
Na Wengi Wanaokaa Huko Baa Ni Wachaga AMBAO Wengi Wao MTUME Wao Ni Mbowe Wewe Na Wanaipennda ITV Kwa Kuwa Pia Ni Ya Ndugu Yao Mwingine Mr. Neutral Ze Big Noise Hivyo Kuna Ka Element Ka UKANDA. Wewe Ulitegemea Wachaga Waangalie Channel Gani Labda Badala Ya ITV Ya KIKABILA?

CCM imeishiwa Pumzi...by Former CCM member with member card no. 8, Endelea kupiga mayowe arifu
 
Kwahiyo Hata " KUNYA " Hovyo MAJUKWAANI Kama Kule Geita, Chato Na Kidogo Tanga Napo Ni " KUBARIKIWA " Mmmmmh Kama Mwenyezi Mungu Huyu Huyu Tunayemwabudu 24/7 Anawabariki " WANYAJI " Basi Itanibidi Nimtafute Mungu Wa UKWELI.

Teh teh teh...

Sindano ya ukombozi imekita kumfupa, outcome yake ni matusi tu, hakuna namna nyingine.

Nchi imekwenda hii...!
 
Back
Top Bottom