Tangazo la Lowassa Clouds FM

Tangazo la Lowassa Clouds FM

Ukawa Bwana,sasa Ulitaka Aongeaje?Ulitaka Aongee Kama Yupo Jukwaani?Mbona Hata Lowassa Tangazo Lake Magic Na Channel Ten Anaongea Kihuruma?

sawa tufanye yaishe kaka TONY ANTONY. ila karibu ukawa mabadiliko yanakuhitaji my brother
 
sawa tufanye yaishe kaka TONY ANTONY. ila karibu ukawa mabadiliko yanakuhitaji my brother

I Only Believe Where I Am Now,i Can Get Those Changes."Chadema Ilikuwa Vizuri,lakini Chadema Haipo Vizuri".Vitu Viwili Tofauti Hapo,Past Na Present....!!
 
Mwenyewe nimeshangaa leo kusikia hilo tangazo la Lowasa clouds redio, ikabidi nitizame frequence kama ni 88.5 ili nijilidhishe nikakuta ni kweli...nikajisemea kimoyomoyo kweli mabadiliko hayakwepeki mpaka cloudsccm wamekubali yaishe lol!!!...bado StarTvccm tuu....!!!
 
akitangazwa mabadiliko, hasipotangazwa hanaujumiwa.

rusheni live kama mnaweza
 
Ndugu zangu nimeamini kweli mabadiliko yanakuja baada ya kusikia tangazo linalo mnadi Lowassa Clouds FM.

Ninaamini kama ni enzi zile hakuna redio wala chombo chochote cha habari kingekubali kupokea Tangazo la kumnadi mgombea wa upinzani. Japo ni Biashara.

Go Lowassa go Mungu ibariki Tanzania, mungu mbariki Lowassa.

ITV ni super brand upande wa media industry tu au kote?
 
We pimbi mabadiliko gani wakati jamaa hana hata ujasiri wa kutamka neno rushwa au ufisadi? Ama kweli kuna watanzania mazuzu

Kwahiyo Magufuli anavyotamka majizi na mafisadi ndio anakupa imani yeye sio fisadi? ulivyonitukana mimi na watanznia na wewe hivyo hivyo
 
Kwahiyo Magufuli anavyotamka majizi na mafisadi ndio anakupa imani yeye sio fisadi? ulivyonitukana mimi na watanznia na wewe hivyo hivyo
Ufisadi uko kwenye kiini cha matatizo ya watanzania..hata ukiwekeza kwenye elimu, kilimo etc bila kushugulikia rushwa na ufisadi, unafanya kazi bure.
Lowassa amegoma kutamka kuwa atapambana na mafisadi..hili linanipa wasiwasi mkubwa sana..nakuonea huruma pia wewe
 
ITV kiukweli wanatangaza vizuri habari za Lowasa sana sana Spencer Lameck
 
Cloudz inabidi wajitambue maana akiapishawaiyo aibu watapeleka wap? Bora wamegundua mapema
 
Ufisadi uko kwenye kiini cha matatizo ya watanzania..hata ukiwekeza kwenye elimu, kilimo etc bila kushugulikia rushwa na ufisadi, unafanya kazi bure.
Lowassa amegoma kutamka kuwa atapambana na mafisadi..hili linanipa wasiwasi mkubwa sana..nakuonea huruma pia wewe

CCM mlishaambiwa mumeishiwa Pumzi, Kwahiyo kama Lowasa hajataja kushughulikia mafisadi ni automatically ataruhusu ufisadi?

Kachukua kwanza buku 7 ya Lunch uje tena
 
Ukiacha ulevi akili yako itaanza kufanya kazi sawasawa, na macho yako yataacha kuona maluweluwe.

Kipaombele cha kwanza Elimu chapili Elimu na cha tatu Elimu. Inakuhusu sana Mdau

Halafu nani alikwambia kukaa bar ni kulewa?
 
I Only Believe Where I Am Now,i Can Get Those Changes."Chadema Ilikuwa Vizuri,lakini Chadema Haipo Vizuri".Vitu Viwili Tofauti Hapo,Past Na Present....!!

Tunataka Mabadiliko, Angesimama, Chenge, Rugemalila, Tibaijuka, Rostam, na awe na nguvu ya kuitoa ccm kura yangu anayo
 
Hee kumbe bado ipo hii radio!Kumbe kama ndo hivo mwaka huu fiesta ni fiesta mabadiliko lowasaaaaaaa
 
Back
Top Bottom